BABA KIUMBE WA AJABU (8)
Jina: BABA KIUMBE WA AJABU Mtunzi: Ally Mbetu SEHEMU YA NANE TULIPOISHIA... “Wataniteua vipi wakati mimi sitaki?” “Huwezi kukataa.” “Mama nina malengo yangu wewe unajua.” “Ni kweli, lakini hakuna wa kumzuia baba yako uamuzi wake.” JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... “Mama na mimi nitakufa kama dada Monika ?” “Kwa nini?” ”Siwezi kufuata masharti ni magumu.” “Si magumu ukizingatia.” “Siwezi mama siwezi…,” nilikatwa kauli na sauti ya baba aliyekuwa akimwita mama. Nilimuona mama akishtuka na kuanza kutetemeka na kijasho chembamba kilimvuja. “Mama vipi?” “Naomba usimwambie baba yako niliyokueleza, ataniua.” “Siwezi kumwambia.” “Ng’wana Manoni.” “Lama,” mama aliitikia huku akitoka chumbani kwangu. “Vipi mbona unatoka chumbani kwa mtoto?” “Hajisikii vizuri.” “Na shamba hujaenda?” “Baba Mihayo nimwache Masalu anaumwa niende shamba?” “Kwani anaumwa sana?” “Toka asubuhi analia tu.” “Kafanya nini?” “Mmh, nenda ndani ukamuone.” “Ma…