Machapisho

BALAA (11)

Zephiline F Ezekiel
BALAA (11)
Jina: BALAA Mtunzi: Halfani Sudy SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Jumba ambalo hakuwa anajua linalindwa na walinzi wangapi, jumba ambalo hakujua ni aina gani ya ulinzi wanaoutimia. Ni mbwa ama binadamu? 'Bora nife kwa bastola, bora nife kishujaa, kuliko kufa kwa njaa!" Dokta Yusha aliiokota ile bunduki iliyokuwa inatumiwa na Sita, SMG ambayo dokta Yusha alikuwa anajua kuitumia. Alifunzwa Kiwira Mbeya , katika Chuo cha Magereza , JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... na alishawahi kuitumia mara kadhaa huko Mtwara , alikoajiriwa. Dokta Yusha alipiga hatua za taratibu kuelekea nje ya chumba kile. Chumba alichoambiwa ndio kaburi lake. Kwa maana hiyo Dokta Yusha sasa alikuwa anatoka katika kaburi lake! Nje kulikuwa na giza, ingawa si kubwa sana kama la mle ndani. Nje angalau kulikuwa na mbalamwezi, mbalamwezi ambayo ilimuwezesha kuona Dokta Yusha. Kwa mwendo wa kunyata Dokta Yusha alikuwa anatambaa na …