Machapisho

BALAA (13)

Zephiline F Ezekiel
BALAA (13)
Jina: BALAA Mtunzi: Halfani Sudy SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Inamaana yule mwanaharamu hajafika pale hospitali. Sasa wote mnaenda wodini kumchukua yule mzee na yule dada na mtaenda kule ICU kumchukua yule mfu. Leo ndio siku yao ya kufa!. Vifo vibaya sana, ambavyo havijawahi kushuhudiwa na Dunia hii. Hakikisheni hamfanyi kosa lolote vijana " "Sawa Bosi" JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Six Killers waliitikia kwa pamoja. Wakaondoka. Safari ya kuelekea hospitali Kilwa Kivinje ilianza. Six killers wakiwa na hasira sana na Dokta Yusha . Mtu ambaye anataka kuwakosesha usingizi. Wakati wao wanaelekea Kilwa Kivinje hospitali, Dokta Yusha akiwa na Mwanasheria mlevi na wagonjwa wao walikuwa nd'o wanakipita kijiji cha Mandawa wakielekea mkoani Lindi. Nia yao ni kuwapeleka wagonjwa wao katika hospitali misheni ya ndanda, Mtwara. Six killers walienda moja kwa moja katika wodi waliolazwa M…