JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (1)

Zephiline F Ezekiel
JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (1)
Jina: JAMANI DADA MARTHA... LOOO! Mtunzi: 2jiachie SEHEMU YA KWANZA “Wewe una hoja Martha, kumbe unajua chakula kizuri...nikuambie kitu mke wangu.” Martha alipoisoma meseji hiyo, akaguna kwanza, akamjibu” “Mh! Nimekuwa mkea mara hii jamani?” “Kwani umeboreka kukuita hivyo?” JIACHIE MWENYEWE SASA… Martha hakujibu haraka, Roi akawa na presha kubwa ya kutaka kuiona meseji iliyofuatia msichana huyo angejibu nini... “Si vibaya ila....” “Ila nini tena?” “Basi tuyaache kwanza.” “Sawa, nahitaji nikuone leo jamani,” aliandika Roi. “Leo?” “Ndiyo! Mbona umeshtuka hivyo mke wangu?” “Kwa leo hapana.” “Mpaka lini?” “Labda siku nyingine.” “Ndiyo nataka kuijua hiyo siku nyingine. “Ila si nimekwambia nitakwambia jamani!” “Basi sawa, hakuna tatizo.” JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Katika kila hatua aliyokuwa akipiga, Roi alijiona kuwa mshindi, uzuri wa Martha ulikichanganya kichwa chake mpaka kufikia hatua ya kumuona mjinga mwanaume a…