MWAJUMA UTAMU (5)

Zephiline F Ezekiel
MWAJUMA UTAMU (5)
Jina: MWAJUMA UTAMU Mtunzi: Juma Hiza SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Katika kipindi hicho biashara ya uchangudoa ilionekana kuwa nzuri kwa kiasi fulani, ilikuwa ikinipa faida kubwa na lilikuwa ni jambo gumu kuiacha biashara hiyo kwani tayari ilikuwa ni sehemu moja ya maisha yangu. Kila kitu nilichokuwa nikikifanya, kuanzia kula yangu, kuvaa kwangu ilitokana na biashara hiyo. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Kipindi hicho bado nilikuwa nikiishi nyumba moja na Savela, tangu alipoweza kunisaidia na kunishawishi mpaka nikajiingiza katika biashara ya uchangudoa. Jambo ambalo wengi wenu hamlifahamu kuhusu hii biashara ya uchangudoa ni biashara kama zilivyobiashara nyingine. Kuna wakati unaweza ukapata hasara au faida. Hakuna kipindi kigumu ambacho biashara inakuwa ngumu kufanyika kama kipindi cha hedhi, pale tunapokuwa katika siku zetu. Tunapata maumivu makali sana. Kila msichana anayejihusisha na biashara hii ya…