MWAJUMA UTAMU (6)

Zephiline F Ezekiel
MWAJUMA UTAMU (6)
Jina: MWAJUMA UTAMU Mtunzi: Juma Hiza SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Nilipoambiwa hayo nilishangaa, sikutaka kuamini kama mtandao wa Facebook ungeweza kunitengenezea kiasi kikubwa cha pesa kiasi hicho. Savela hakuishia hapo tu, aliendelea kuniambia jinsi biashara ya uchangudoa ilivyokuwa ikifanyika katika mitandao ya kijamii. "Mmh ya kweli hayo?" JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... "Wewe endelea kuzubaa, wenzako tunazidi kupiga pesa hapa mjini, hatutumii nguvu nyingi halafu leo jioni kuna buzi mmoja naenda kukutana naye." "Yupi huyo?" "Ni wa Facebook, anaonekana ni mtu mwenye hela zake, leo lazima nikatanue nae," alinijibu Savela. Nilihisi kuchanganyikiwa mno, nilipoambiwa biashara hiyo ilivyokuwa ikifanyika mitandaoni, nilitamani kuifanya. Kwa kuwa nilimiliki simu ya kupangusa wala haikuwa kazi sana, nilichokifanya niliingia katika mtandao huo, nikajisajili, nikawa nina a…