MAUAJI YA KASISI (11)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (11)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Amata aliteremka na kuzunguka lile jingo la ghorofa mbili na alipofika nyuma yake alitikisa kichwa kwa kuugundua upumbavu wa vijana hao waliobaki ndani ya gari wakati nyuma ya jingo kuna ngazi zinazoweza kumtoa mtu yoyote aliye ndani ya jingo hilo, akarudi mpaka mbele na kuwapa taarifa hiyo ambayo iliwafanya wafadahaike sana kwa ujinga walioufanya. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Hakika Bill Van Getgand alikuwa ametokea upande wa pili pamoja na yule mwanadada na kuchukua tax iliyokuwa imeegeshwa huko nyuma na kuondoka zao mpaka uwanja wa ndege ambako walichukua ndege na kuelekea Nairobi . Baada ya kumsukasuka yule dereva wa tax aliyewabeba Bill na yule mwanadada hakuna jibu la maana walilopata zaidi ya kubaki na lile koba la gitaa ambalo ndani yake kulikuwa na bunduki kubwa iliyotumika kwa mauaji yale lakini hakukuwa na g…