MAUAJI YA KASISI (20)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (20)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA... Maria alimsimulia Otho juu ya Yule kichaa na maneno tata aliyomueleza na pia jinsi alivyomtoweka kimiujiza. Otho alimsikiliza bosi wake mpaka alipomalizia mkasa huo. “Ila majamazi sio watu aisee, kinachonichanganya wakati wa mapambano yetu, kuna gari nyingine ilikuja na kumchukua cheetah na hilo begi kisha wakaondoka zao, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... akiwa amegubikwa na mawazo, hasira na chuki kwa mtu asiyemjua, aliona wazi kuwa mtu huyo amekwamisha harakati zake zote. KICC – NAIROBI MEZA MOJA iliyokuwa mbele ya kijana mtanashati, Melchior Ndege , ilibeba bia aina ya tusker na vitafunwa kadhaa. Kijana huyu aliyekuwa akinywa bia yake taratibu kana kwamba hana haraka katika hilo alionekana akipepesa macho yake huku na kule kuona kama Yule anayemsubiri amefika au la. Pembeni kukiwa na wateja wengine lakini yeye halikumfanya kuj…