MAUAJI YA KASISI (35)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA THELATHINI NA TANO ILIPOISHIA... kwa mbele akaona kuna pacha ya bomba hilo ikiungana na bomba linguine ambalo nalo lilikuwa likileta maji kuunga na hili nkisha kuelekea yanakokwenda, Frank alipoifikia ile pacha akasikia kelele ya mtu anayekimbia katika maji, akatul.ia kusibri aone mtu huyo ni nani. §§§§§ KAMANDA Amata alipoona kuwa lile lango la kwenda chini alikoingia Bill limejifunga, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... akachoka ghafla, akatazama huku na kule, alichokiona akajua tu ni switchi ya mlango huo, akaelekea pale ukutani hakuwa na akaminya namba ya siri ambayo kuna jinsi unavyoipanga inaweza kufungua kila aina ya mlango, akaingiza tarakimu hizo kumi na mbili na alama Fulani kwa mpangilio maalumu, akabonyeza ok, akadaiwa kuweka alama ya kidole gumba, akajua tu lazima ni kidole cha Andreas kinachohatajika, alimtazama akiwa pale chini amelala h…