MAUAJI YA KASISI (8)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (8)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... Akatazama kile chumba kwa macho ya kiintelijensia kisha akakiendea kile kitanda kikubwa na kuivuta droo ya kitanda hicho kisha kwa upande wa chini akabandika kidubwasha maalum kisha akafanya hima kutoka katika chumba hicho. Alipofika chini, pale alipoegesha gari lake aliingia na kuketi ndani, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... kisha akawasha chombo Fulani kama simu na kuweka vidubwasha Fulani masikioni mwake alibonyabonya vitu Fulani na kutulia, haikuchukua muda Bill alirudi na mwanamke fulani wakikokotana na kuingia ndani ya hotel hiyo. Melchior aliwasha kile kidude chake na kujiwek tayari kisha akalaza kiti cha gari yake na kusubiri, mara baada ya sekunde kadhaa akaanza kusikia mazungumzo ya mahaba yaliyokuwa yakitoka katika chumba hicho, mara alisikia mikoromo ya raha za dunia, akabonyeza kitufe cha kurekodi kila kinachozungumz…