MREMBO MCHARUKO (17)
Jina: MREMBO MCHARUKO Mtunzi: Latifa SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... Basi tuliongea apo adi nikajiisi usingizi nikalala nayeye pia alipanda kitandani kulala tulishtuka Asubuhi kumekucha aliewahi kutoka kitandani Vitalis akaandaa kifungua kinywa mimi bado kuinuka nilikuwa siwezi akaja kunisaidia nakunipeleka bafuni kuoga nilipotoka nikashangaa anatoa mfuko uliokuwa na nguo ndani mpya nakunipa nivae KAMA UNAISOMA SIMULIZI HII TOFAUTI NA KWENYE APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA SIMULIZI KWA WAKATI SAHIHI 👉 GUSA INSTALL 👈 ENDELEA... "Nguo za mwanamke wako ndo unanipa mimi?" " Lisa jamani izi mpya nimenunua jana nilipoenda kukuchukulia dawa" Alisema basi nikavaa gauni moja akainishika mikono nakunisaidia kutembea adi sebuleni. Ambapo alikuwa ameshaandaa chai tukajumuika kunywa pamoja, siku iyo iliisha tukiwa tumeshinda wote ilikuwa jumapili "Kesho ni siku ya kazi Vitalis itakuwaje?" Nilimuuliza "Nitaenda mimi kusimamia we nitakuacha apa" "Kwaiyo nishakuwa …