MREMBO MCHARUKO (19)
Jina: MREMBO MCHARUKO Mtunzi: Latifa SEHEMU YA KUMI NA TISA ILIPOISHIA... Alianza kuongea akipiga kelele zilizowastua madokta ambao walikuja nakushangaa maiti inaongea. "Eleza nani kakutuma uje kumuua uyu binti?" Ni Diana ndie aliuliza uku mumewake akiwa bado anaendelea na maombi KAMA UNAISOMA SIMULIZI HII TOFAUTI NA KWENYE APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA SIMULIZI KWA WAKATI SAHIHI 👉 GUSA INSTALL 👈 ENDELEA... "Ni Neema na Harvey ndio wamenituma nimuue Lisa na mtoto wake" Ilijibu sauti ya kiume iliyokuwa ikiongea kwenye mwili wa Lisa. Yalikuwa kama maigizo wote walioshuhudia hawakuamini. "Mama unawajua hao watu?" Vitalis aliuliza "Nawajua ni yule mwanaume aliekuwa mumewake Lisa na uyo Neema ni mamayake mdogo" Alisema Mama nakumfanya Vitalis hasira zimpande "Haiwezekani kumbe wao ndio wanamtesa ivi mkewangu lazima walipe kwa aya waliyofanya" Aliongea kwa uchungu ikabidi wamtulize kwanza waangalie hali yangu. Maombi yaliendelea zaidi "Ninakuamuru uru…