USIKU WA BALAA (2)

Zephiline F Ezekiel
Mtunzi: Kalmas Konzo

SEHEMU YA PILI
ILIPOISHIA...
Rose aliongea huku akionesha wazi ya kwamba alikuwa na hofu.

"Kimejiri nini kwani Rose?". Ilinibidi minwulize Rose baada ya kuyasikia maneno yake.

"Ndoo imepasuka". Rose aliongea huku akionesha dhahiri alikosa raha.

KAMA UNAISOMA SIMULIZI HII TOFAUTI NA KWENYE APP YA CnZ Media
IPAKUE ILI KUPATA SIMULIZI KWA WAKATI SAHIHI
👉GUSA INSTALL👈

ENDELEA...
Habari ile hata mimi ilinitisha kidogo. Nilijua swala lile litaleta matatizo makubwa sana nyumbani kwa akina Rose.

Sasa nitafamyaje? Ni swali ambalo nilijiuliza na lilikosa majibu ya papo kwa papo.

Ghafla nikapata wazo ambalo nililiona ni jema sana. Nikaona hapo sasa nimekwishalitatua lile tatizo.

Nilienda ndani mwangu na kurudi na ndoo ambayo ilikuwa ni ya aina na rangi za ile iliyovunjika. Nikaenda bombani na kuiikinga maji.

"Haya njoo nikutwike mama". Nilimwambia Rose huku nikitabasamu.

"Mwone kwanza, sasa hivi siuhitaji msaada wako. Najitwika mimi mwenyewe". Rose aliongea huku akijitwika ile ndoo na kuanza kuondoka.

"Poa mrembo basi tutaonana". Nilimwambia Rose.

"Kwenda zako, uonane na nani!". Rose aliongea huku akiufungua mlango wa nje na kutokomea.

*******************

Niliingia ndani kwangu na kujitupa juu ya sofa. Nilizivuta pumzi zangu na kuzishusha kwa nguvu huku mawazo yangu yakiwa hayapo kabisa pale.

Niliwaza jinsi nilivyopata raha ya mahaba ndani ya muda ule mfupi niliokaa na Rose.

"Huyu mtoto ni mtamu kwa kweli. Siku nikimwingiza humu ndani, lazima atakoma na mimi kwa dozi ambayo nitampatia". Niliwaza sana juu ya Rose.

"Hakika siku hiyo nitamtafuna kabisa. Huyu mtoto ananichanganya sana kichwa. Lazima nimnase kwa njia yoyote ile". Nikaendelea kuwaza na kuwazua.

Hali yangu ilikuwa mbaya sana kwa siku ile. Mwili wangu ulikuwa ukinyevuanyevua kutokana na midadi ya kungonoka baada ya kupandishwa ashki na Rose.

Nikapata wazo ambalo nilihisi kuwana laweza kuwa tiba mbadala ya hali yangu.

Nikaenda katika mkoba wangu wa kuhifadhia CD na kisha nikaichagua CD moja ya ngono iliyokuwa ikiitwa CHARLES` BABY.

Nikaiweka katika deki na kuanza kuushuhudia wendawazimu wa wazungu.

Mambo yaliyokuwa katika filamu ile ya ngono yalinizidishia tu munkari badala ya kuwa tiba ya maradhi yangu.

"Huu ni ujinga sasa. Ngoja nitoke niende nikafanye mambo ya maana". Nilijiongelesha peke yangu baada ya kuona hali yangu ikizidi kuwa mbaya.

Nikaingia bafuni na kwenda kujimwagia maji ili kuuweka mwili wangu katika hali nzuri.

Nikavalia mavazi yangu maridadi na kisha nikaufunga mlango wa chumba changu na kutoka nje.

Nikiwa katika kupuyanga mtaa wa pili si mbali na mtaa ambao nilikuwa nikiishi, macho yangu yalipata bahati ya kumwona binti mmoja mrembo ambaye alikuwa na sifa na vigezo vyote vya kuitwa mlimbwende.

"Habari yako dada yangu". Kinywa changu kilimmwagia salamu lukuki yule mlimbwende.

"Safi tu kaka, hali yako je". Alinijibu yule dada kwa sauti tamu kama kinanda kilichopigwa na mpigaji mashuhuri.

"Mi njema tu dada yangu. Vipi wasafiri nini?". Niliendelea kumtungua kwa maswali yule mrembo.

"Hapana mimi nimeshafika mwisho wa safari kwani naishi hapo mbele hatua ishirini tu kutoka hapa. Ninachokiwaza hapa ni namna ya kuubeba huu mzigo mpaka nyumbani". Yule dada aliongea kwa sauti ya kuomba msaada.

"Kama hautajali, naweza kukusaidia?". Niliamua kumsaidia yule dada kwani pia nilijisikia fahari sana kumsaidia yule dada.

Sisi wanaume bwana tuna mambo ya ajabu sana mbele ya hawa warembo. Hivi angelikuwa mwanaume mwenzangu hata salamu asingeipata achilia mbali kumbebea mzigo.

Kidume nikajikunja na kuonesha ushababi. Nikajitwika ule mzigo na kuanza kumfuata yule mrembo.

"Tayari tushafika kaka yangu. Nashukuru sana". Aliongea yule mrembo huku akiufungua mlango wa nyumba.

"Haya dada yangu, ngoja mimi nikuache". Nilimwambia yule dada mara baada ya kumsaidia kuuingiza ule mzigo ndani.

"Subiri kaka yangu upate japo chai". Aliniambia mlimbwende yule huku akinishika mkono na kuyarembua macho yake utadhani ana usingizi wa kutokulala kwa zaidi ya miaka hamsini.

************************

Umbile lake lilikuwa limejichora live bila chenga kwangu ile khanga ilikuwa imeloa majimaji na kuifanya inate mwilini.

"Lahaulah!" Nilijikuta nimepiga makelele bila hata ya kujielewa.

"Nini tena Ima?". Yule mrembo aliniuliza huku akicheka.

"Mh!". Nilishindwa kujibu na kubaki nikigumiagumia mithili ya mbwa aliyekabwa na mfupa.

"Nini jamani mbona huongei?". Yule mlimbwende aliniuliza tena huku akinitazama kwa macho yake ya kilevi.

"We mtoto utaniua jamani. Hivi ulizaliwa kweli au uliteremshwa tu toka mbinguni?". Niliamua kumuhoji yule mlimbwende huku nikijilamba midomo kwa tamaa.

"Ha ha ha ha haaaaaa! usinivunje mbavu Ima". Aliongea mrembo yule huku akija kukaa mkabala nami.

Mkao wake ndio ambao sasa ulianza kunipa shida. Alipokuwa amekaa, ile khanga yake ilijiachia na kuyafanya mapaja yake meupe yaonekane.

Macho yangu hayakubanduka huko kwenye mapaja yale na midomo ikiendelea kujilambalamba mpaka pale niliposhituliwa na yule mrembo.

"Niambie, chai yangu umeionaje?". Yule mrembo alinipiga swali ambalo nilikuwa jama sijalisikia vizuri.

Mjomba sasa alianza vurugu zake na kuifanya suruali yangu kuvimba na kufanya kama kajimlima kadogo.

Yule mrembo aliuona ule mlima na akatabasamu huku macho yake kayaelekeza huko.

"Ima nimekuuliza swali lakini hujanijibu". Mlimbwende yule akaniuliza tena kwa mara ya pili.

"Eheee! hivi umeniuliza nini vile?". Nilimwuliza yule mrembo kwani ni dhahiri nilikuwa nimelisahau swali ambalo mlimbwende yule aliniuliza.

"Mh! haya bwana. Nimekuuliza chai yangu umeionaje?". Mrembo yule aliniuliza.

"Anhaaaa! Chai ni nzuri sana. Nimekunywa na nimeshiba sana. Ahsante sana na hakika wewe u mpishi mzuri sana". Nilimjibu yule mrembo huku majibu yangu yakionekana kumfurahisha sana yule mrembo.

"Mh! Ima wewe, una maneno". Aliongea yule mrembo huku akitabasamu.

Mrembo yule sasa aliungana nami katika kutazama runinga ile. Sehemu amvayo ilikuwa ikioneshwa sasa ilikuwa ni ile sehemu ambayo watu walikuwa wakipeana mambo yao.

Ghafla yule mrembo alisimama alipokuwa amekaa awali na kuja kukaa pembeni yangu. Mkono wake wa kushoto ulipita juu ya mabega yangu na mkono wake wa kushoto ukawa juu ya paja langu la mguu wa kulia.

Alianza kuusugua ule mkono taratibu juu ya mguu wangu huku akinitazama kwa macho yake malegevu mithili ya mlevi.

*************************

Mimi nikajikausha utafikiri nilikuwa sifahamu kilichokuwa kikiendelea. Mwili wangu ulizidi kusisimka na kuhisi kama wadudu wadogowadogo walikuwa wakinyevuanyevua.

"Ima eti ni kweli wanayoyasema?". Yule mrembo alinitwanga swali.

"Yapi hayo mrembo?". Niliuliza kama nilikuwa sijalisikia swali ambalo liliulizwa.

"Eti watu wanasema katika mambo ya malovee wewe ni balaa". Mrembo yule alikandamiza maelezo yake.

"Mh! hapana. Mbona mimi mambo hayo hata siyajui. Yaani sijawahi fanya kabisa. Wananionea tu". Nilimwambia yule mrembo nikijitetea kwa utetezi ambao ulimchekesha sana.

"Ha ha ha haaaa! usinivunje mbavu zangu jamani Ima. Wewe huyo ndiye uwe huyajui haya mambo". Yule mrembo aliongea huku mkono wake sasa ukiwa umekwishafika kwa mjomba na ulikuwa ukitakiana hali naye.

"Mh! aaaanh! ndiyoooo! eeenh! oooosh!". Nilibabaika kumjibu na kubaki nikigumiagumia mithili ya fisi aliyepokwa mnofu na simba.

Mjomba alichachamaa huku yule mrembo akiendelea kumchezea vilivyo. Nilijisikia raha na burudani kupita kiasi. Nilibaki tu nikigunaguna kwa raha.

Yule mrembo ghafla aliutoa mkono wake kule mahali na kunitazama kwa tuo kisha akauingiza moja kwa moja katika kifua changu na kuanza kunipapasa.

Mi nikaona sasa isiwe shida. Nikajigeuza na kuupeleka mkono wangu wa kulia katika maziwa yake yaliyosimama vilivyo na kuanza kuyatomasatomasa.

Yalikuwa ni maziwa laini yenye joto na chuchu zilizosimama mithili ya embe sindano.

Yule mlimbwende alianza sasa kugumiagumia huku akiwa amenikumbatia na kunibana vilivyo.

Nikaendelea kuonesha ufundi wangu wa kupapasa kuitembeza mikono yangu kiufundi katika uti wa mgongo wake nikianzia shingoni na kushuka taratibu mpaka jirani na milima yake miwili.

"Oooiiish! Jamani Ima, you are so sweet!". Ndiyo maneno niliyoyasikia kutoka katika kinywa cha yule mlimbwende.

"Huyu leo lazima anifahamu mimi ni nani. Nitamkamua vilivyo hata asinisahau katika maisha yake". Niliendelea kuwaza huku mikono yangu ikiendelea kufanya utalii juu ya mwili wake.

********** **************

Niliendelea kuitembeza mikono yangu juu ya mwili wake laini kwa ufundi wa hali ya juu. Mikono yangu sasa ilifika katika kiuno chake na kukumbana na fungu kubwa la shanga.

Niliendelea kuzichezea shanga hizi huku nikizisuguasugua juu ya kiuno chake chembamba mithili ya dondola.

Huyu mrembo sasa alianza kutoa mguno war aha huku akijinyonganyonga kama mnyoo wa udongoni. Hali yake ilionekana sasa inazidi kuwa mbaya. Mimi nikazidi tu kuonesha ufundi wangu wa kupapasa kitaalamu.

Niliuchukua ulimi wangu na kisha nikaupachika katika masikio yake. Nikauachia ufanye ziara ya ukaguzi taratibu na kwa umakini. Mrembo Yule sasa alishindwa kuvumilia. Alitoa ukulele wa nguvu lakini kwa sauti ambayo hata haikuweza kufika katika mlango.

Kwa sauti ile nikajua hapo ndipo mahali ambapo nimemkuna mrembo yule.

Kwa muda wote huo nilikuwa nikiitafuta weak point yake na sasa nilikuwa nimekwishaifahamu. Nikazidisha kufanya utalii ndani na masikio yake na sasa mrembo huyu nilimwona akipiga kelele huku macho yake akiwa ameyafunga kwa raha mustarehe aliyokuwa akijisikia.

“Ooooooh! Aaaaaah! Ima! You are killing me. Please give me that good”. Mlimbwende Yule alilalamika kwa sauti tamu ya mahaba iliyonikuna mpaka rohoni.

Mimi sikumjibu chochote bali niliendelea kufanya makamuzi ya utalii. Mkono wangu wa kulia sasa ukawa umepenya mpaka katika hips zake ukiwa katika safari ya kuelekea ufukweni kubarizi. Mrembo Yule aliitanua miguu yake na kuniachia nafasi ya kufanya yangu kule ufukweni.

Nilikaa kwa muda kule ufukweni nikihakikisha nafanya ukaguzi wa kutosha. Kwa muda wote ule nilihisi kama yule mrembo atakufa kwa sauti aliyokuwa akiitoa. Alikuwa akijikunjakunja huku akinisihi niendelee kufanya utalii wangu.

“Ima! Aaaaaaah! You are so sweet. Nakufa Ima! Najisikia rahaaaaa!

Endelea mpenzi wangu! Aaaah!”. Mlimbwende aliendelea kupiga kelele huku akiongea maneno ambayo nilishindwa hata kuyaelewa. Mara alisema nimuue, mara anajisikia raha. Mh! Jamani haya mambo nyie acheni tu.

USIKOSE MWENDELEZO

Share CnZ Media App kwa Wapenzi wa Kusoma Simulizi Ili Tuwe Wasomaji Wengi

Chapisha Maoni