USIKU WA BALAA (4)

Zephiline F Ezekiel
USIKU WA BALAA (4)
Jina: USIKU WA BALAA Mtunzi: Kalmas Konzo SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... Yule bwana alifoka huku alimchapa Nancy kibao kikali sana. Niliitazama saa ambayo ilikuwa mle chumbani, na kuona inasoma kuwa ni saa sita na dakika mbili mchana. "Kijana hebi jiandae ili upate dozi yako mbele ya huyu malaya mwenzako". KAMA UNAISOMA SIMULIZI HII TOFAUTI NA KWENYE APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA SIMULIZI KWA WAKATI SAHIHI 👉 GUSA INSTALL 👈 ENDELEA... Yule bwana aliongea huku sasa akiwa ameisogelea ile meza ya vipodozi nakuanza kufungua mkanda wa suruali yake. Sikuamini kama nilikuwa nimepata wasaa mzuri kama ule. Sikutaka hata kujishauri mara mbilimbili. Nilichokifanya ni kuchomoka mbio huku nikiwa uchi kama nilivyozaliwa. Nilitoka nje kwa spidi kali na kulakiwa na jua kali kuashiria kwamba ilikuwa mi mchana mchanga kabisa. Watu wengi pia walikuwa wakiendelea na shughuli zao huku nje. Mimi sikuwajali, bali ni kuzicharaza mbio kali huku nikiwa uchi wa mnyama. ****************************** Yaani hapa siku…