MY EVA (10)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... Cathy alimfuata jasson akamweleza kuhusu ule mpango.. Jason alikubal maana alijua hyo ndio njia rahis ya kumpata eva.. SASA ENDELEA.. Cathy alifanikisha kuzipata picha ambazo eva alikua akiongea na mkufunz...alizipata nyingi maana mkufunz alipenda kumwita eva mara kwa mara....almtumia zote jasson ili .....afanye kaz yake.. Kesho yake jasson alimpigia sim danny.. Danny...yan eva huku siku iz hashikiki....alisema jasson. Una maana gan...aliulza danny kwa mshangao.... Yaan mm mwenyew siamin macho yangu...alisema jasson kiunafik.. Mbna sikuelew jasson?... Najua itakuuma ila inabid nikwambie...mm mwenyw kama rafk yako inaniuma ila bas tu... Eva anatoka na mkufunz sku iz.... Niniii??????...danny aliuliza kwa mshangao... Ndo hvyo ndugu.....af unajua hawa wakufunz walivyo malaya....si ajab ana ukimwi...mm nakwambia nikuokoe danny.... Danny aliishiwa nguvu....hakuamin masikio yake... Au n uongo??....ila jasson atanidanganya ili iweje??...alijiuliz…