
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Mama danny...inabid tufanye kitu kuhusu ugonjwa wa eva....hii nafas isitupite...alisema victor..Kitu gan?...aliuliza rachel..
Nitaftie namba za daktari anaemtibu eva...alisema victor.
Za nn??aliuliza rachel..
Kuna kitu nataka kufanya..
SASA ENDELEA..
Rachel alizitafuta namba za doctor robert..akampatia mme wake victor..Sasa inabid kwa gharama zozote zile tumpe rushwa huyu daktari atusaidie kweny mpango wetu.....
Vipi unataka kumzushia kua ana ukimwi??? Aliuliza rachel kwa kiherehere..
Hamna....hiyo haitakua nzuri...maana siku akikutana na danny wanaweza kupima upya tukaonekana waongo...
Kwahyo utafanya nin?..?
Nataka daktari aandike ripot zake kua alitoa mimba ndo chanzo cha ugonjwa....
Walifanikiwa kupata ushirikiano wa daktari.... Daktari aliziandika ripot walizozitaka akawapatia na kutia sain..
=======================*=********==================
Baada ya siku kupita wazaz wa danny walimpatia hizo ripot cathy...kama kawaida...alimkabidhi jasson.
Jason alimpigia sim danny akiwa amepooza kiunafk...
Danny.... Yan nashndwa hata nikwambieje....alijisemesha jasson...
Kwan kuna nn?..
Eva katoa mimba na ndo chanzo cha kuugua kwake...
Nini????...aliuliza danny kwa mshangao...
Mm sisemi sana...ngoja nikutumie ripot alizoziandika daktari wake...
Jasson alikata sim na akazituma...
Danny alihis kuchanganyikiwa.....ni kwel ripot zilikua za kutoa mimba...na daktari alikua ametia sahihi...
Lakin alijiuliza swal moja....huyu jasson amezipataje...yeye kama nan...na kwann azitafte???.
Alikiwa na mawazo meng...mara rafiki yake aliekua anasomea udaktari alikuja....alimkuta akiwa na mawazo...alimuuliza nn tatzo na danny akaeleza...
Rodney aliziangaoia ripot hizo zilikua na tatizo...yaan agonjwa ulioandikwa na dawa zilizoandikwa vilikua haviendan...alimweleza danny....
Danny nalishangaa sana...halaf mtu mwenyew ni.. jasson!!!!!!?...alijiulza kwa nn awe jasson.
Daktari yule hakua makin kipind anatunga ule uongo...hvyo kwa bahat mbaya alijikuta anakosea..
Danny alijua kua hapo kuna mchezo umechezwa.......alijiuiliza kwann jasson afanye hvyo....
Yaan kat ya watu wote kwann awe jasson???... Kwann lakn ....yann huyu jamaa nlimwamin halaf kumbe ....daaah...
Alihisi fkra zake zinakosea...
Aliamua kumpigia sim jasson...akamuulza kwann zile ripot anazo yy na wala sio eva mwenyew...jasson alijitetea kua kwa sabab yy n mtu wa karib na eva....
Huo ukarib had wa kuchukua ripot zake???..kwann asichukue miriam aliekua nae hospitali??...aliulza danny..
Danny kwahyo unazan mm nimetunga???...sasa nitunge ili iweje???...aliuliza jasson kwa hasira...akakata simu..
Danny alijiulza maswal meng sana..
Aliamua kumpigia eva...alimuomba amtumie ripot zake...eva alizituma... Na rodney alikagua tena
Chakushangaza zilikua tofaut na za jasson... Lakn sahihi ya daktari ilikua ileile...danny alithibitisha kua ule ni mpango...
Baadae alimweleza eva kuhusu yaliyotokea...eva alishangaa kusikia vile...alishangaa kusikia kua jasson mtu aliy mwamin alifanya vile...
Ila usiwaze sana eva hila zao hazitafanikiwa...danny alimfarij eva..
Eva alikua ana mawazo sana...aliwaza kwann yote yale yamkute yy tu...kwa nn anaandamwa na watu ambao hajawakosea na istoshe wote wanamzid uwezo......alilia sana eva...miriam rafki yake alimfarij eva...
Miriam alikua mtto wa kizito..hvyo pesa kwake haikua tatzo..alimpeleka eva sehem mbalimbali za kuvutia ili apunguze mawazo...eva alimshukuru sana miriam kwa upendo wake....
Usijal eva...wewe n rafik yangu...sipend kukuona unalia ila bas tu..
===================================**
Wakiwa wanatoka matembezin walikutana na jasson na cathy..
Miriam alikua mwongeaj sana...hapohapo aliwavagaa...
Hivi nyinyi bila kufuatilia maisha ya eva hamli???aliuliza miriam..
Unaongea na sisi???....aliulza cathy kwa nyodo....
Halaf ww usinichefue dam isije ikamwagika hapa...
Jaman achen fujo aliingilia jasson.....miriam mbona unasema hvyo??...aliuliza jasson...
Tena ww usijiulizishe hapa....hujui ulichomwambia danny leo??....sasa kwa taarifa yako danny ameshakugundua....
Waliishiwa poz wote wawil....yan jasson na cathy..
=====================
Victor alikasirika sana kuona ametumia hela kias kile halaf daktari akafanya uzembe kias hcho...alimweleza mkewe ambae pia alikasirika sana..
Walimpigia sm daktar lakn hakupatkana....victor alikasirika sana..
USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA MBILI
TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO