MY EVA (11)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Mama danny...inabid tufanye kitu kuhusu ugonjwa wa eva....hii nafas isitupite...alisema victor.. Kitu gan?...aliuliza rachel.. Nitaftie namba za daktari anaemtibu eva...alisema victor. Za nn??aliuliza rachel.. Kuna kitu nataka kufanya.. SASA ENDELEA.. Rachel alizitafuta namba za doctor robert..akampatia mme wake victor.. Sasa inabid kwa gharama zozote zile tumpe rushwa huyu daktari atusaidie kweny mpango wetu..... Vipi unataka kumzushia kua ana ukimwi??? Aliuliza rachel kwa kiherehere.. Hamna....hiyo haitakua nzuri...maana siku akikutana na danny wanaweza kupima upya tukaonekana waongo... Kwahyo utafanya nin?..? Nataka daktari aandike ripot zake kua alitoa mimba ndo chanzo cha ugonjwa.... Walifanikiwa kupata ushirikiano wa daktari.... Daktari aliziandika ripot walizozitaka akawapatia na kutia sain.. =======================*=********================== Baada ya siku kupita wazaz wa danny walimpatia hizo ripot cathy...kama kawaida...…