
SEHEMU YA KUMI NA TANO
ILIPOISHIA...
Sasa inabid nikamuulze shangaz huenda anajua kitu....alisema eva..Kwel..tuanze nanshangaz kwanza tupate angalau mwanga...alikazia danny
SASA ENDELEA..
Baada ya wiki moja....eva alienda kwa shangazi yake...shangaz alifrah kumwona eva...usiku ulipoingia shangaz alimuulza eva...Mwanangu mbona kama hauko sawa...sabab ya zile skendo??....usijal mwanangu haya n mapito tu...
Shangaz kunakitu nataka nikuulze....alisema eva..
Uliza mwanangu....
Hiv unajua lolote kuhusu kifo cha baba na mama yangu??...
Shangaz maria alishtushwa na swali hilo......
Mwanangu eva mbona unauluzia kuhusu hili jambo ghafla?...aliulza maria
Nataka kuifuatilia hii kes shangaz....alisema eva..
Eva....kwann unataka kuuchosha tena ubongo wako?...?hujakaa vizur tangu uzushiwe kesi ya mauaji...tena sasa iv.....
Wala usijari shangaz... Kuhusu ile skendo mbona mm nishakua sawa....saiv nataka nishughulikie hili swala..alisema eva
Mwanangu....hebu tulia...haya mabo yaache yapite...halaf si unajua wazaz wako walikufa kwa ajari ya moto?....alisema shangaz
Hapana hyo sio kwel ile haikua ajar kuna mtu alifanya hlo jambo...mm kunamtu nlimwona anatokea mlango wa pemben siku ile halaf kabla ya hapo nlisikia vishndo ndani...alisema eva
Hata kama....yaache tu hayo yatakusababishia madhara...
Nishajiandaa kwa lolote shangaz... We niambie tu...
Hapana mwanangu...hata hvyo mm sijui kitu.
Eva alijua tu shangaz yake anajua kitu ila hatak kumwambia kwa kuhofia usalama wa eva
Maria aliogopa kumwambia eva maana alikua tayar alishajua uhusiano wake na danny.... Alihofia mambo yatakuaj kama akijua kua anaemtafta n baba yake na danny
Eva alijitahd kumbembeleza lakin shangaz alikataaa...
Baada ya muda walienda kulala...maria hakupata usingiz hata kidogo....
Alijua kama hili swala likitibuka...wahanga watakua ni weng akiwemo mme wake wa zaman,victor pamoja na kaka zake wawil ambao walishirikiana na hawa maharamia kumuua ndugu yao ili wapate mali zake.
Sitamwonesha eva ushirikiano...nikisema tu najua ataanzisha kesi...na hawa watu wakigundua watamuua...sitakubali kumpoteza eva..sitakubali mabaya yamkute...alijisemea shangaz...
=======================
Kesho yake eva alirud mjin...aliwaeleza danny na miriam mambo yalivyoenda...
Daah sasa tunafanyaj?....alisema miriam..
Mmh ngoja tutafte njia nyingne....alisema danny.
Ntaendelea kumshawish shangaz...alisema eva
====================
Victor alipojua kua mtoto wake anafuatilia kesi hiii alishtuka sana...alishindwa kujua la kufanya... Alichanganyikiwa...
Alimuita mkewe...akamueleza kua danny anafuatilia kes ya wazaz wa eva...
Hivi huyu mtoto amerogwa au......yanamuhusu nn hayo.?alisema rachel..
Ndo inabid umkataze...alisema victor...
Sasa ntamkatazaj wakat mtoto mwenyw hua hatusikilizi??...alisema rachel
Kwa gharama yyt ile tumzuie...alisema victor..
Lakn si ulisema wazaz wake walirogwa??....sasa wanachofuatilia n nn??aliulza rachel..
Na mm nashangaa kwann wanajisumbua...alijisemesha victor..
============================
Baada ya mkewe kutoka victor alimpigia kazimoto(mme wa maria) akamweleza kua eva anafuatilia kez ya wazaz wake..mzee gabriel na bi jennifer....
Mmh anafuatilia!!!???....kapata wapi hyo jeul...aliulza kazimoto.
Anasaidiwa na danny.. Mwanangu..
Eeeeeh!!!!....sasa tunafanyaj?....aliuliza kazimoto
Nitajitahd kumzuia danny... Halaf itabid tupoteze ushahid.....alisema victor
Ushahid?? Unamaanisha maria?.....
USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA SITA
TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO