MY EVA (16)

0
JINA: MY EVA
SEHEMU YA KUMI NA SITA
ILIPOISHIA...
Yule mtoto eva anafuatilia ya mauaj ya wazaz wake...alsema victor akimwambia bwana kazmoto....
Mmmh...amepata wap jeur huyo eva??....aliulza kazmoto
Anasaidiwa na mwanangu danny..alisema victor
Aaah sasa hapa tutafanyj???aliulza kazmoto
Inabid kwanza nimzuie danny.....halaf tupoteze ushahid..alisema victor
Ushahid?...unamaanisha maria??..aliulza kazmoto.

SASA ENDELEA..
Ndio.. namaanishs maria....ww si ulisema kwamba anajua kilalitu na ndo chanzo cha nyinyi kuachana....alisema victor..
Ni kwel ila sasa kumuua tena!!....alisema kazmoto.
Sasa unazan tutafanya nn?....aliulza victor
Mm ntaenda kuonana nae na nitamtishia kua akisema nitamuua eva...hapo hataweza kusema....alisema kazmoto..
Mmjh...sawa lakn mm nna waswas...alisema victor.
Victor... Mm siwez kukubal maria afe....na kama ukijarib kumgusa kwakwel tutaonana wabaya...alisema kazmoto... Victor alikubali kishingo upande...
============================
Victor na rachel walimwita danny.
Wewe danny....sitak maelezo wala mjadala....naomba uachane na hiyo kes mara moja...alisema victor kwa ukal..
Ni kwel mwanangu....usijihusishe na mambo yasiyokuhusu...utakuja kuumia bure...mm sitak kukuona unadhurika mwanang...alisema rachel....

Baba,mama,,nawapenda na nnawaheshim sana wazaz wangu,,na spend muumie kwa sababu yangu....lakn mm eva nshampenda...shda yake n yangu...nimejitolea kumsaidia...hata mungu atanibarik naamin..alisema danny akaweka kituo

Halaf istoshe hii ndo kaz yangu...mbal na kua n kes ya eva..mm n mwanasheria nanhii ndo kaz yangu...hvyo mtanisamehe sana wazaz wangu...
Victor aliamka na kumpiga danny kofi leny ujazo...danny alibak kimya...victor nalikasirika sana na kuondoka...

Rachel aliumia kuona mwanae kapigwa na umri wote ule...alibak akimbembeleza  na kumsih aachane na ile kes.....
======================******

Kazimili alifunga safar akaenda nyumbani kwa maria...
Maria akiwa hana hili wala lile...mara mtu alibisha hod...
Maria alitaka kukimbia baada ya kumona kazmoto...

Baadae wakakaa na kuanza kuongea...

Maria...nimekuja hapa kwa swala moja tu...
Lipi hilo...
Yule eva ameanza kufuatilia kes ya wazaz wake,sasa naomba umzuie kwa gharama zozote zile...na ikishindikana muache...ila usimweleze jambo lolote..
Nikijua umemwambia huo ndo utakua mwisho wa eva na ww pia...kazmoto aliondoka baada ya kusema vile..
==========#========**

Maria alihofia sana usalama wa eva..hvyo aliapa hatamwabia asije kumsababishia kifo.

Eva alimpigia sm shangaz kumbembeleza tena ili amweleze....shangaz alikua mkali sana...alisisitiza kua hajui lolote....na pia alimkanya eva kuachana na hayo mambo....eva aliishiwa nguv lakn danny na miriam walimtia moyo..
==================*

Kazmoto alimweleza victor kua alimkanya maria na maria hatalopoka lolote....
Victor hakukubali kabisa hilo wazo moyon mwake...alimkubalia kazmoto kumridhisha tu lakn moyon mwake hakukubal....

Usiku ulipofika alimuaga mkewe kua anaenda kukutana na rafk yake kazmoto... Rachel alikubal.
Victor alikua haend kuonana na kazmoto.. Bali alikua ameenda kukutana na majambaz wake...aliwaambia juu ya mpango wake wa kumuua maria..

Hakikisheni kazmoto hajui kuhusu huo mpango.....fanyen kimyakimya....alisema victor...
Sawa mkuu....kwahyo tutafanya lini...waliulza majambaz..
Ntawaambia siku nzuri ya kaz..alisema victor..
Ndiyo mkuu...walijib majambaz

USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA SABA

TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)