MY EVA (16)

Zephiline F Ezekiel
MY EVA (16)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... Yule mtoto eva anafuatilia ya mauaj ya wazaz wake...alsema victor akimwambia bwana kazmoto.... Mmmh...amepata wap jeur huyo eva??....aliulza kazmoto Anasaidiwa na mwanangu danny..alisema victor Aaah sasa hapa tutafanyj???aliulza kazmoto Inabid kwanza nimzuie danny.....halaf tupoteze ushahid..alisema victor Ushahid?...unamaanisha maria??..aliulza kazmoto. SASA ENDELEA.. Ndio.. namaanishs maria....ww si ulisema kwamba anajua kilalitu na ndo chanzo cha nyinyi kuachana....alisema victor.. Ni kwel ila sasa kumuua tena!!....alisema kazmoto. Sasa unazan tutafanya nn?....aliulza victor Mm ntaenda kuonana nae na nitamtishia kua akisema nitamuua eva...hapo hataweza kusema....alisema kazmoto.. Mmjh...sawa lakn mm nna waswas...alisema victor. Victor... Mm siwez kukubal maria afe....na kama ukijarib kumgusa kwakwel tutaonana wabaya...alisema kazmoto... Victor alikubali kishingo upande... ============================ Victor na rachel walimwita …