MY EVA (17)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... Hakikisheni kazi hii mnaifanya kwa siri... Kazmoto asije akajua..alisema victor nkwa msisitizo akiwaambia majambaz wake. Ndio mkuu...walijib..hvyo tutaifanya lin hii kaz?.. Ntaangalia sku nzur...nitawataarif...alisema victor. SASA ENDELEA.. Licha ya shangaz kukaza...eva hakukata tamaa...aliendelea kumuulza japo maria alikua mkali sana kweny swala hilo....aliamua kufunga safar na kwenda tena kwa shangaz yake mara ya pili.. Naenda kwa shangaz tena...labda ataniambia...alisema eva.. Haya safar njema...walijib danny na miriam. Tunakuombea ufanikiwe.. Eva aliwaaga na kuondoka. ================================ Victor aliwaita vijana wa kaz na kuwaagiza watekeleze ule mpango... Hakikishen hamfanyi makosa...mtu yeyote asiwagundue...nimeshaongea na mkuu wa kituo mambo yote yako vizur..kwahyo police hawatawasumbua....alisema victor Ndio mkuu....walijib majambaz.. ======================*= Eva alikua ashawasili nyumban kwa shangaz.. Kama umeku…