MY EVA (17)

0
JINA: MY EVA
SEHEMU YA KUMI NA SABA
ILIPOISHIA...
Hakikisheni kazi hii mnaifanya kwa siri... Kazmoto asije akajua..alisema victor nkwa msisitizo akiwaambia majambaz wake.
Ndio mkuu...walijib..hvyo tutaifanya lin hii kaz?..
Ntaangalia sku nzur...nitawataarif...alisema victor.

SASA ENDELEA..
Licha ya shangaz kukaza...eva hakukata tamaa...aliendelea kumuulza japo maria alikua mkali sana kweny swala hilo....aliamua kufunga safar na kwenda tena kwa shangaz yake mara ya pili..

Naenda kwa shangaz tena...labda ataniambia...alisema eva..
Haya safar njema...walijib danny na miriam.
Tunakuombea ufanikiwe..
Eva aliwaaga na kuondoka.
================================
Victor aliwaita vijana wa kaz na kuwaagiza watekeleze ule mpango...
Hakikishen hamfanyi makosa...mtu yeyote asiwagundue...nimeshaongea na mkuu wa kituo mambo yote yako vizur..kwahyo police hawatawasumbua....alisema victor
Ndio mkuu....walijib majambaz..
======================*=
Eva alikua ashawasili nyumban kwa shangaz..

Kama umekuja kwa zile mada zako.....hutaambua chochote..alisema maria...
Nimeshakwambia achana. na haya mambo lakin hunisikii....hiv ww mbona umeanza kutonisikilizansku iz..alisema maria
Lakin shangaz....
Kabla hajamaliza kuongea mara awaliskia mlango ukigongwa kwa fujo..
Ni nan hao shangaz?.... Aliuliza eva kwa hof
Mmh hata mm sijui...tujifiche...alisema maria.

Walikua wale majambaz...walibomoa kitasa cha mlango wa maria na kuingia ndani...
Mtafteni alipo na hakikishen mnammaliza...alisema jambaz mkuu.
Ndio mkuu...walijib vibaraka.
Maria na eva waliposikia hvyo waoiogopa sana..
===========================
Kuna jambaz mmoja ambay yy hakwenda kweny ile kazi...alisingizia anaumwa lakn haikua kwel.
Huyu alikua mpambe wa kazmoto ingawa alikua anafanya kaz kwa victor.
Mpambe huyu alimtaarif kaz moto kuhusu ule mpango wa victor...
Kazmoto alkasirika sana...hakupoteza mda alichukua gari lake akaenda anakoish maria.
Yaan lolote baya likimkuta maria victor atanijua mm ni nani...alijisemea kazmin huku akiwa kwenye gari...
Wakat majambaz wanamtafta maria..kazmin nae alikua njian kuelekea kwa maria.
============================
Danny alikua anaelekea nyumban kwao...mama yake hakuwepo mda huo n danny hakua ametoa taarifa kua angekuja nyumban..

Alifika nyumban na akaingia ndani moja kwa moja...
Alipofika ndani alimkuta baba yake kama anafokeana na mtu...alizan ni mama yake lakn aliposogea vizur aligundua baba yake alikua anafokeana na mtu kwa sim.
Alighair na kutaka kwenda zake....lakin kabla hajaondoka alisikia kaul moja aliyoisema baba yake...danny akastuka sana..

Utanifanya nn wewe kwan....hebu toa mikwala ya kijinga..alisema victor..
Wewe unahakika gan kama maria angebak msir siku zote??au unataka tufungwe??....alisema victor..
Danny alisogea ili asikilize vizur.
Utanilaum bure kazmoto... Mm nimeamua kumuua maria ili kupoteza ushahid kabisa...mm nlikua na wasiwas kwamba sku moja angemwambia eva siri yote... Sasa unazan angemwambia si  wote tungefungwa!!...alisema victor...
Danny hakutaka kuamin alichosikia....
Mmmh...yan baba anahusika na kifo cha wazaz wa eva!!!!!!....kiaje...
Victor alikata sim....danny alitoka haraka haraka ili baba yake asimkute pale mlangon...alienda na kujikalisha sebuleni....

Victor alitoka chumban akaja had sebulen...alishtuka kidogo kumuona danny.... Aaaaa danny uko hapa...umeshindaje?...
Kabla danny hajajibu alishtuka kuona kovu la kuchanwa na msumari kweye bega la kushoto la baba yake...
Danny alipoliona alikumbuka sku ile eva alikua alipomwambia kwamba mtu alieuwa wazaz wake kabla hajatoka ndan alichanwa na msumari uliokua umekaa kihasara hasara mlangon kwao kweny bega lake la kushoto....
Danny alihis kuzimia...alihakikisha kabisa kua baba yake ndio mhusika mkuu kweny kifo cha wazaz wa eva...

Mwili wake wote uliishiwa nguv akabak akitetemeka kama ngonjwa wa maralia kali.

Victor alimshangaa danny..we danny vipi mbona uko hvyo???
Danny hakujib kitu....alibak anatetemeka tu huku macho yamemtoka..

Haya heb ngoja nikupeleke hospital maana sikuelew....
Hamna baba....walansiend hospital...danny alisema huku akielekea chumban kwake..

Victor alibak akimshangaa danny....alikua jiulza kwann kawa vile.
Huyu mtoto kawaje....alijiuza victor bila kupata majibu.....

Danny aliingia chumban kwake...alitaman ile iwe ndoto...lakin haikuwezekana....
Hivi n kwel au naota...alijiulza danny..hiv baba...kwann lakin...!!!??alijiulza  danny mwaswal meng bila kupata majibu..
Ntamwangaliaje eva mm.....na nitaanzaj kumfunga baba....kwann lakn??.
Danny alilia kama mtoto mdogo...aliwaza atafanya nn....atamwambia nn eva na ataanzaje..
==============================

Huku hayo yote yakiendelea....wale majambaz walifanikisha kumpata maria...walishtuka kuona wapo wawil...
Walimuulza boss wafanyej...akawaamuru kuwauwa wote..
Walitaka kupiga kelele za kuomba msaada lakn walizibwa midomo yao kwa vitambaa.....kazmoto alikua tayari amefika karib na nyumbanya maria...

Kabla hajaingia ndan alishtuka kusikia mlio wa risasi....paaaah

USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA NANE

TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)