MY EVA (18)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA NANE ILIPOISHIA... Kazmoto alkiwa njian alikua na hasira na victor... Aliapa kumkomesha kama chochote kingempata maria....akiwa tayari amekaribia,,alisikia mlio wa risasi...PAAAAAH... SASA ENDELEA.. Kazmoto alishtuka kusikia mlio wa risas...watu wa eneo lile pia waliogopa na kukimbia hovyo huku wengne wakijificha...alizima gari na kuingia ndan haraka sana...alishtuka kuona mlango umebomolewa...alijua tu hakuna usalama... Lazma watu wa victor watakua hum...alijisemea kazmoto.. ============= Huku wale majambaz walikua wameshafyatua risasi moja...ilikua imempata maria...eva alitaman kupiga kelele ila alikua amefungwa mdomo.... Maria alidondoka chini na dam nying zlikua znavuja...eva alihisi kuchanganyikiwa....alihis kama atampoteza shangaz yake . Majambaz waliulza kwa mkuu wao.... Na huyu tumfanye nn??.. Poteza ushahid...alijibu mkuu.. Jambaz alichukua bunduk yake tayar kupoteza ushahid....kabla hajaichia risasi mara wakasikia vishindo mtu anaekuja…