
SEHEMU YA KUMI NA NANE
ILIPOISHIA...
Kazmoto alkiwa njian alikua na hasira na victor... Aliapa kumkomesha kama chochote kingempata maria....akiwa tayari amekaribia,,alisikia mlio wa risasi...PAAAAAH...SASA ENDELEA..
Kazmoto alishtuka kusikia mlio wa risas...watu wa eneo lile pia waliogopa na kukimbia hovyo huku wengne wakijificha...alizima gari na kuingia ndan haraka sana...alishtuka kuona mlango umebomolewa...alijua tu hakuna usalama...Lazma watu wa victor watakua hum...alijisemea kazmoto..
=============
Huku wale majambaz walikua wameshafyatua risasi moja...ilikua imempata maria...eva alitaman kupiga kelele ila alikua amefungwa mdomo....
Maria alidondoka chini na dam nying zlikua znavuja...eva alihisi kuchanganyikiwa....alihis kama atampoteza shangaz yake .
Majambaz waliulza kwa mkuu wao....
Na huyu tumfanye nn??..
Poteza ushahid...alijibu mkuu..
Jambaz alichukua bunduk yake tayar kupoteza ushahid....kabla hajaichia risasi mara wakasikia vishindo mtu anaekuja kwa kasi..
Boss alitoka kwenda kuangalia huku waliobak wakiwa na waswas.
Boss alitembea kwa kunyata...akiwa bado hajamuoma kazmoto... Kazmoto alimkaba kwa nyuma...
Nan amewatuma??.....victor eeh aliuliza kazmoto kwa hasira.
Boss alitoa ishara kwamba vijana wake waje kumsaidia...walikuja.
Walichezea kipigo cha nguv kutoka kwa kazmoto...walikimbia ingawa mmoja wao alikua amejeruhiwa vibaya..
================
Wakat kazmoto anapigana na majambaz... Hali ya maria haikua nzuri maana alikua anavuja dam nying sana...eva alilia sana..hasa baada ya kukata kilekitambaa alichokua amefungwa..
Nisamehe mwnangu eva....sijui utabak na nan....nisamehe sana maana nilishindwa kua muwaz mapema..huenda haya yote yasingetupata....
Nlihofia maana mtu mwenyew alifanya hvyo n...i...maria liongea kwa tabu...
Ni nan??...n nan huyo .....shangaz niambie....
Maria alishindwa kuongea....alinyoosha kidole na kumwonesha eva droo flan iliyokua karibu...
Eva alibaki ameduwaa....mara ghafla aliingia kazmoto.
Alimkuta maria kweny hali mbaya sana....
Machoz yalimtoka kazmoto... Alilia kama mtoto mdogo...mda wote eva alimshangaa na kumuogopa..
Maria...nisamehe nimechelewa...alisema kazmoto huku machoz yakimtoka..
Maria alimwangalia kazmoto kwa mshangao ingawa hakuweza kuongea....haikuchukua mda mref maria alipoteza faham...eva alilia sana alizan shangaz yake amekufa.
Victor!!!!!... Victor!!!!!.....utalipa ulichopanda leo...alisema kazmoto kwa hasira...
Eva alishangaa kusikia jina victor...
Victor!!??.... Alijiulza eva.... Victor gan...wa wap..
Kazmoto alimpigia daktari wake... Akamuomba aje na vifaa vya huduma ua kwanza na gari la kumbebea maria...
Haukupita mda mfup daktari alifika na kumchukua maria..
Kazmoto alimchukua eva na kumlipia nyumba ya wagen ili kesho yake aondoke.
Eva hakulala usiku ule alikua akilia...aliwaza mambo yataendaje kwa shangaz yake....
Kesho yake asubuh alienda nyumban kwa shangaz yake kuchukua nguo na vitu vyake kwa ajili ya safar... Lakn alikumbuka shangaz yake alikua akisonteshea droo flan iv..
Alienda kuifungua droo ile....alikuta bahasha nyeupe ndani yake.
Alifungua bahasha ile...alikua na ham ya kuona kilichomo....
Alistuka alipoona kilichomo....ilikua ni picha ya victor!!!!!
Victor!!!!! Victor!!!!!!.... Alikumbuka njins kazmoto alivyokua akisema jana usiku....
Ina maana baba yake danny....eva alishindwa aseme nn
Aliangalia tena ndan ya bahasha na kukuta ujumbe uliokua na maandish ya zaman....nao ile andikwa hiv..
"Ile kaz nimeimaliza...nimehakikisha kilamtu kweny ile nyumba ameungua...ila nina waswas na yule mtoto eva...sina hakika kama amekufa...maana nilimsikia akiomba kelele za msaada" ...ila bila shaka na yy atakua amekufa""....by VICTOR.
Eva aliishiwa nguv....alijikuta kadondika chin...
Inawezakanaje???.....kwann awe baba yake danny??.....kwann lakn..
Na hiiilifikaje wa shangaz... Kwann awe nayo shangaz....maswal ya eva hayakua na majib
Eva alihisi kama anaota hiv...hakutaka kuamin alichokiona..
Alijikuta akianza upya kulia.
========================================
Danny nn shda??....aliuliza miriam...
Danny hakijib chochote zaid ya komwanga machoz mfululizo...
Wote walikua ndani kwa eva wakimsubir maana aliahd kirud sku hyo...
Danny hakutaka kwenda kuonana na eva lakin miriam alimpitia na alishindwa kukataa...
Danny sasa unalia tu maana yake nn???....aliulza miriam....
Mara ghafla eva aliingia bila hata hodi.....alifika na kupitiliza hadi chumban bila hata kuwasalimia....miriam alibak akiwashangaa wote wawil...
Miram aliamka na kwenda chumban alikokua eva..
Eva tatzo nn mbona uko hiv?...
Eva alikosa pa kuanzia...
Ntakwambia kilakitu baadae miriam..sasa iv niache kwanza..miriam alitoka na kumwacha eva chumban...baada ya mda danny alikwenda chumban alikokua eva...
Akabisha hod lakin eva hakutaka kufungua kabisa....danny alihisi tu kua huenda eva alishajua kilakitu..
Aliamua kuondoka na kumwacha kwanza...
============================
Danny alirud nyumban akiwa amechoka sana.....alimkuta baba yake akiongea na sm..
Kama kawaida alijibanza asikilize..
"Et nn....kazmoto alikuja!!??...alijuaje??.."
"Eva tena!!!!!...kwann hamkumuua...sasa mnatarajia nn?.."
"Mmalizen eva hraka sana lasivyo nitawamaliza nyinyi"
Hizo zilikua ni kaul za victor kwa majambaz wake
Danny alishuka kusikia habar za kummaliza eva....alisimama mlangon na kumsubir baba yake mlango n ili wapambane uso kwa uso.
Ile victor anatoka tu ndani,,alishtuka kumkuta danny mlangoni..
Unafanya nn hapa??.....aliuliza victor kwa ukali...si nakuulza wewe....
Baba umetosha sasa....naona unataka kuvuka mipaka....alisema danny.
Unaongelea wewe!?...aliuliza victor kwa mashaka...
Hivi hujarizika tu kuwauwa wazaz wake pamoja na shangaz yake!!??...sasa hiv unataka na yy umuue!??..baba hiv unaroho ya binadam ndani yako ww au ya simba...!!??...alisema danny kwa uchungu na hasira..
Victor alishtuka...alishangaa sana danny kusema vile...alibak ameduwaa..
Sina hakika kama ww ndie kwel baba yangu au yupo mwingne labda....alisema danny
We danny!!!!!!!!!!..alofoka victor.
Baba hapo tutaonana wabaya kwakwel...alisema danny na kuondoaka kuelekea chumban kwake...
USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA TISA
TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO