MY EVA (19)

0
JINA: MY EVA
SEHEMU YA KUMI NA TISA
ILIPOISHIA...
Yaan baba licha ya kuwauwa wazaz wake na shangaz yakebado hujarizika??...unataka umuue na yeye?!!...
Kwakwel baba hapo tutaonana wabaya...alisema danny huku akielekea chumban kwake..

Victor alishtuka sana kusikia hivyo...
Alijuaje huyu?!
We danny!!!... Alifoka victor kwa hasira

SASA ENDELEA..
Danny akiwa chumban kwake alijiuliza sana...
Kwann lakin baba anakua hiv?...ntamwambia nn eva?...ntawezaj kumfunga jela baba yangu mzaz??..eva si ataniona adui?...alijiuliza danny bila majibu ya uhakika...
================
Siku zilipita....eva na danny walikua hawana maelewano mazuri....danny aliamua kuvunja ukimya na kwenda kwa eva...

Eva sijui hata niseme nini...alisema Danny
Danny.. Utaendelea kunisaidia?...aliulza eva.
Danny alibaki kimya  asijue la kusema..
Danny najua nakuweka kweny wakat mgum....yule ni baba yako na fam ni nzito kuliko maji....hautaweza kushughulikia swala hili ipasavyo..nakuomba ukae pembeni....alisema eva

Lakin eva... Alijarib danny kujitetea lakin eva alimkatisha..
Hapana danny...mm na wewe hatuwez kupita njia moja kwa sasa..mm ni adui wa familia yako kwa sasa... Siwez kukaa kimya...inamaana baba yako hakurizika na wazaz wangu had amuue shangaz???....alisema eva huku akilia...
Danny alijarib ku!farij lakin haikuwezekana....aliuiondoa mkono wa danny kwenye bega lake....hapana danny hatuwez kwenda sambamba kwa sasa..sitak kukutenga na familia yako tena...kila mmoja atakushangaa kua kipaumbele kumfunga baba yako..

Danny alimuaga eva na kuondoka kwa huzuni
===============
Nini!!!???.....alishtuka miriam baada ya kuelezwa ukwel wote na eva.
Inamaana siku zote tulikua tunahangaika na kumtafta baba yake danny??!!....
Ndo hvyo dear.....ila siwez kumwacha maana amenitendea yasiyovumilika...danny atanisamehe bure kwakwel.....alisema eva..
Nimeshamwambia kua nitatafta mwanasheria mwingne.

Mmh unaweza kwel kukaa mbali na danny??... Aliulza miriam.
Ningum lakin itanibid nivumilie.
Enhee vipi kuhusu shangaz yako....
Eva alianza kulia..
Sasa eva ukilia jaman mm nielew nn...nambie basi
Amekufa....aliyemchukua aliniambia tayar ameshakufa....alisema eva huku akilia..
Na mazish je...
Wamesema wataukausha mwil wake kwa mda...hawamzik sasaiv had kuwe na usalama..

Pole sana eva wangu...alisema miriam huku akimkumbatia eva.
======================

Miriam aliwaeleza wazaz wake hali halis...walishangaana kusikitika sana...na baba miriam alimtaftia eva mwanasheria mzoef ilimkumsaidia na yy aliahid kumsaidia kuhusu kesi ile.
Miriam malimueleza eva na eva alifurahi sana

Danny alikua sebulen kwao akiangalia tv mida ya saa tatu usiku...mara sim ya baba yake ikaita...danny aliipokea ili amwambie mpigaji kua victor anaoga hivyo asubiri

Danny aliipokea sim...alishtushwa na maneno aliyoyasikia...
"" victor unataka nn lakin??...sasa nakwambia leo eva akifa basi ntakuonesha mm ni nani."""" sim ikakatwa.
Danny alistuka na akatetemeka sana..aliogopa kusikia eva atauawa siku hiyo...

Mara victor alitoka bafuni...
Ameshapiga mtu??..aliulza victor kwa mashaka...
Hamna...alidanganya danny.

Victor aliichukua sim yake ambayo kwa mara ya kwanza aliisahau kwenye meza jambo ambalo lilikua mwiko kwake....
Akiwa chumban alijiapiza kumuua eva ili kuipoteza ushahid wa mauaj ya maria...

Kumbe siku hiyo ndiyo siku victor alipanga kumuua eva...aliandaa vibaraka wake wote...nanalipanga kwenda yy mwenyw.
Lakin yule shushushu wa kazmoto alimtaarif kazmoto kuhusu mpango wa victor pindi alipopata upenyo...kazmoto alikasirika sana na ndio sababu ya yeye kumpigia victor sim ambayo ilipokelewa na danny.....

Kazmoto aliamua kwenda kudhibit njama za victor  na alimuahid maria kwamba eva atalindwa hivyo aondoe shaka..

Maria alikua anaendelea vizuri lakin kazmoto aliamua kumdanganya eva kua shangaz yake amekufa....alifanya hiv akihofia kua eva atamwambia danny kua maria yupo hai...na danny nanaweza kutoboa siri kwa victor.... Na victor atamtafta maria amuue tena...
Kazmoto hakumuamin danny hata kidogo...alihisi huenda atashirikiana na baba yake maana wanadam hubadilika...

Maria  hakupenda eva adanganywe ila basi tu
=======*****=**=****

Danny aliwahi chumban kwake kumpigia sim eva lakin haikupokelewa... Maana eva alikua bafun anaoga...danny aliamua kufunga safar kwenda kw eva ili amuokoe..

Mda huo victor na wenzake walikua wakijipanga kwa safar ya kwenda kwa eva....

Wakat huo kazmoto na wezake nao walikua wanaelekea hukohuko.....

USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI

TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)