MY EVA (19)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA TISA ILIPOISHIA... Yaan baba licha ya kuwauwa wazaz wake na shangaz yakebado hujarizika??...unataka umuue na yeye?!!... Kwakwel baba hapo tutaonana wabaya...alisema danny huku akielekea chumban kwake.. Victor alishtuka sana kusikia hivyo... Alijuaje huyu?! We danny!!!... Alifoka victor kwa hasira SASA ENDELEA.. Danny akiwa chumban kwake alijiuliza sana... Kwann lakin baba anakua hiv?...ntamwambia nn eva?...ntawezaj kumfunga jela baba yangu mzaz??..eva si ataniona adui?...alijiuliza danny bila majibu ya uhakika... ================ Siku zilipita....eva na danny walikua hawana maelewano mazuri....danny aliamua kuvunja ukimya na kwenda kwa eva... Eva sijui hata niseme nini...alisema Danny Danny.. Utaendelea kunisaidia?...aliulza eva. Danny alibaki kimya asijue la kusema.. Danny najua nakuweka kweny wakat mgum....yule ni baba yako na fam ni nzito kuliko maji....hautaweza kushughulikia swala hili ipasavyo..nakuomba ukae pembeni....alisema eva Lakin eva..…