MY EVA (21)

Zephiline F Ezekiel
MY EVA (21)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA ILIPOISHIA... Ghafla maaskari police walikuja pale kambin...wakamkamata victor na kwenda nae... SASA ENDELEA.. Rachel akiwa chumban anamuuguza mwanae...alikuja mtu na kuwapa habar za kukamatwa kwa victor. Ameyataka mwenyewe victor... Yaan dunia hii unaweza ukaish  na mashetan ndan ukazan ni watu...alisema rachel... Maskin eva wa watu nlikua namfanyia unyama bure tu...yaan najuta kwakwel...alisema rachel. Sasa si unaona mama..eva wa watu mmempakazia mabaya hadi watu wanamuuona muuaji...alisema Danny. Nisamehe mwanangu...naona hata aib kumwangalia eva...baba yako alinidanganya kwao eva ni wachawi wakubwa na ndo waliwaua wazaz wa eva..na mm bila kufkir nikaziunga mkono njama zake...najiona mjinga sasa...alisema rachel Habar zilimfikia kazmoto...alishtuka sana. Zam yangu inakaribia sasa...alisema kazmoto. Kwahyo unachukua hatua gani?...aliulza maria. Sitafanya lolote,sitaenda popote...nitasubiri tu ..nastahil hukum kwa niliyoyafanya. Kwa m…