MY EVA (5)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Eva alishangaa maana haikua kawaida ya Cathy kumchunia licha ya kua Cathy alikua mtu wamajivuno...hata hivyo alipuuzia akalala. SONGA NAYO... Kadri siku zilivyozid kwenda cathy alizidi kumchukia eva...lakin eva wala hakujal wala hakumchukia cathy.... Siku moja danny alishikwa na ugonjwa ghafla....alipelekwa hospitali na rafik yake peter akiwa tayar amepoteza faham.. Eva aliposikia habari za ugonjwa wa dabny alichanganyikiwa..akawaza sana. Jaman, sijui kawaje,alijisemea eva huku machoz yakimlengalenga Wazazi wa danny waliposikia habari ya ugonjwa wa mtoto wao walifunga safar mda huohuo nakuja hospital alipokua mtoto wao.. Hospitali haikua mbali sana na shule hvyo haikua kaz ngum kwa wanafunz kwenda kuwasalimia wenzao Siku iliyofuata wazazi wa danny walikua tayari washafika....eva nae aliomba ruhusa ya kuja kumsalimia danny.. Mda huo na cathy alikua anajiandaa kuja baada ya kusikia ugonjwa wa danny Eva alifika alipokua amelazwa danny.. …