MY EVA (6)

Zephiline F Ezekiel
MY EVA (6)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Eva alikua na huzuni na alikia hana raha muda mwingi sana maana danny alikua amebadilika. maskini Eva alikua mnyonge sana.. Danny alikua amevunjika moyo kwa alichofanya eva lakin bado alimuonea huruma kwa kua alikua mnyonge sana. SONGA NAYO.. Danny alimwendea rafiki yake peter...akamwelezea hali ilivyo kati yake yeye na Eva. peter alimiulza..kwan nini tatzo? Unajua sku ile nilipokua nimelazwa nlikua nafikiria kua eva angekuja lakini nilipomuuliza mama alisema eva hajaja pale hospitali..yaani hadi naondoka pale alikua hakujatu..liniuma bas tu..nilizani Eva ndo angekua mtu ww kwanza kuja pale..lakini hakuja et....alisema danny Mmm mbona Eva alikuja...na mimi ndo nilimuona...?? Alikuja hadi akaingia ndan na wazazi wako walikuemo ila mda huohuo nlimuona ametoka akiwa amenyong'onyea sikujua kwanin alitoka mapema kias kile....alisema peter. Mmmh...we peter wewe...mbona mm walinambia hajaja.? Aliuliza peter kwa mshangao.. walikuambia haja…