MY EVA (7)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Mwanangu huo urafiki na Eva itabidi usitishe mara moja...alisema victor. Kwanini baba??... aliulza danny kwa mshangao.. SASA ENDELEA.. Mwanangu sisi wazazi wako tunapokukataza kitu ujue tunakutakia mema...hebu naomba utusikie...alikazia mama danny. Ndio najua kua mnanitakia mema....lakn ningependa kujua sababu ya hayo yote...alisema danny. Huyo eva mm namfaham vizuri ...kwao sio watu wa kawaida....ni wachawi wakubwa,nisingependa kuona unadhurika kwa sababu ya kua karibu nae...alisema baba yake. Lakini baba mimi nina urafiki na eva sio ndugu zake,sasa kama wao wakiwa wachawi inaathiri nini urafiki wetu?...aliuliza danny. Sasa wewe huoni kua wanaweza kumtumia kukuzuru kwqkua wewe ni rafiki yake??..aliuliza victor. Sasa wanizuru kwa lipi wakati hata hawanifahamu?....aliuliza danny. We mtoto wewe usijifanye unajua mno kutuzidi sisi....kwani wachawi hua wanawazuru waliowakosea tu??alifoka mama danny.. Halafu istoshe wale kwao ni masikini s…