MY EVA (8)

Zephiline F Ezekiel
MY EVA (8)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... Shangaz mbona una unawaza sana?..aliuliza eva Hamna kitu mwanangu....alijibu maria. SASA ENDELEA.. maria alipobaki peke yake liwaza sana...alitaman kumuuliza Eva kua hao aliowaona kwenye pocha ni akina nanin ila alipanga kumuulza sku nyingne maana kwa siku hiyo angemshtua Eva.. huenda Eva angehisi. Baada ya siku kazaa kupita...maria aliona amuulze Eva kuhusu ile picha.akiona atumir mbinu ya utaniutani ili Eva asihisi kitu.. Eva hawa ni akina nan?...maana unapenda kuiangalia hii picha sana.....hebu nambie mwanangu au ndo tayari...aliulza maria kama kiutani vile.. mmmh...shangazi na wewe jamani...et tayari. eee... kama ni tayari tuambizane ukweli buana..alisema shangazi na wote wakacheka. Hamna bwana....huyu ni rafiki yangu tu na hawa ni wazaz wake,tulipiga picha siku ya visting day.....alisema Eva. Maria alishtuka..ila ilibidi ajikaze...akajichekesa tu.. haya mwanangu alisema maria. maria alipobaki peke yake aliwaza sana.. hivi nimwambie…