MY EVA (9)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... Itabid danny aende kusoma nje ya nchi...hiyo itasaidia kupunguza ukaribu wao...alisema victor.. Ni wazo zur mme wangu...huyu mtoto hasikii SONGA NAYO.. Licha ya magum waliyokua nayo...eva na danny walijitahid kua na furaha.... Baada ya mwaka wa kwanza wa masomo kuisha...danny alienda kwao (rikizo) Akiwa hana hili wala lile,,wazaz wake walimwita... Danny mwaka kesho utaenda kusoma nje ya nchi...alisema victor Danny alishtuka sana... Kwann baba?? Aaaaah wazaz wako tuna pesa..utasomeaj chuo kama kile.... Sasa kama n hvyo si mngenipeleka mwaka jana?? Yan sasa hiv nimepoteza mwaka mzma halaf tena nikaanze upya!!! Uchumi ulikua umeyumba mwanangu...alidakia mama danny. Baba mm siko tayar hata kidogo...!! Wewe unabishana na mm?? Alifoka victor..? Danny nilibid awe mpole.. ===================*==*=*=*==*===********** Baada ya mda alimpigia eva na kumweleza hali halis.... Eva alihuzunika mno....alijua tu ni janja za wazaz wa danny ili watenganishwe.. Ma…