
SEHEMU YA TISA
ILIPOISHIA...
Itabid danny aende kusoma nje ya nchi...hiyo itasaidia kupunguza ukaribu wao...alisema victor..Ni wazo zur mme wangu...huyu mtoto hasikii
SONGA NAYO..
Licha ya magum waliyokua nayo...eva na danny walijitahid kua na furaha....Baada ya mwaka wa kwanza wa masomo kuisha...danny alienda kwao (rikizo)
Akiwa hana hili wala lile,,wazaz wake walimwita...
Danny mwaka kesho utaenda kusoma nje ya nchi...alisema victor
Danny alishtuka sana...
Kwann baba??
Aaaaah wazaz wako tuna pesa..utasomeaj chuo kama kile....
Sasa kama n hvyo si mngenipeleka mwaka jana?? Yan sasa hiv nimepoteza mwaka mzma halaf tena nikaanze upya!!!
Uchumi ulikua umeyumba mwanangu...alidakia mama danny.
Baba mm siko tayar hata kidogo...!!
Wewe unabishana na mm?? Alifoka victor..?
Danny nilibid awe mpole..
===================*==*=*=*==*===**********
Baada ya mda alimpigia eva na kumweleza hali halis....
Eva alihuzunika mno....alijua tu ni janja za wazaz wa danny ili watenganishwe..
Maskin...mm ndo nimekusababishia........alisema eva kwa unyonge.
Usiseme hvyo eva... Huna lolote ulilokosea..
==========$$=======================================
Mwaka uliofuata danny alienda kusomea canada....kabla hajaenda alikutana na eva....akamuaga ...wakaagana kwa machoz meng sana....
Cathy hakupendezwa na danny kwenda nje ya nchi...alimshawish baba yake ampeleke na yy lakn baba yake alikataaa...
Eva alikua mpweke sana baada ya danny kuondoka....danny alijitahd kumfarij kwa kumpigia sm mara kwa mara lakn haikutosha.....
=========================================
Victor aliwaza lazma afanye kitu....alijua ilikua n rahis zaid kuwatenganisha danny akiwa mbali.
Alimwita mkewe akamwambia....sasa mama danny huu ndo mda wetu....kwakua danny yuko mbali itakua rahs kuwatenganisha...lazma tufanye kitu..
Sasa tufany nn...aliulza rachel...
Ndo bado nafikiria....
Mwache danny atulie kwanza......tutatafta njia ya kumwaminisha danny kua eva ana mwanaume mwingne......
Itabid tumtumie cathy amvizie eva popote atakapokua amesimama na mwanaume hata kama n rafik wa kawaida ampige picha....
Tena atafte mtu mweny mazoea na eva ili awapige picha mara kwa mara....alisema victor..
Sasa unazan ataamini??......atajua labda ni janja za cathy..
Tutatumia mtu mwingne ambae danny anamwamin...
====================================================
Walimtafta cathy na kumweleza mpango wao.....wakamuahid watafanya juu chin aolewe na danny baadae kama akifanikisha kuwatenganish...cathy alifurahishwa na mpango wao...akaahid kutoa ushirikiano...
================================
Baada ya mda mref wa uchunguz cathy aligundua eva ana ukarib na jasson...rafiki wa danny..
Ila aligundua kua jasson alimtaman eva kimapenz ingawa eva hakujua...alijua n kwa sabab alikua rafk wa danny...
Huyuhuyu ndo nitakua nampa picha anamtumia danny maana mm danny hataniamin....halaf yule lecturer (mkufunzi wa chuo) hua anampenda eva ...nitakua namvizia kila akimwita nampiga picha.......alijisemea cathy alikiwa anajihis mshind
Eva alikua mzuri sana...tena san....watu wengi walijigongagonga kwake....wanachuo wenzake wakufunz...na hata watu wengne pia...hii ilimpa wakat mgum sana eva...
Wakat hayo yote yanapangwa...maskin eva na danny walikua hawana habari yoyote
========*=========================
Cathy alimfuata jasson akamweleza ule mpango...jasson alikubal.....alijua itakua njia rahis ya kumpata eva maana alimpenda lakin danny alikua kikwazo kwake
USIKOSE SEHEMU YA KUMI
TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO