RANIA (13)
JINA: RANIA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Bila shaka unajua Rania anamaanisha nini kwenye ufalme wenu....kwahyo unataka umuue kimyakimya kwa kisingizio kua umemficha umlinde?.. Hautaweza Fasha...alisema Dom huku amemkazia Fasha macho. Fasha alishtuka na macho yalimtoka ... SASA ENDELEA.. Fasha alibaki macho kodo... Dom...unajua kumbe... Alisema Fasha. Hakuna kitu kinaweza kua siri milele...alisema Dom. Fasha alitabasam kidogo ka furaha... Dom alishangaa kuona Fasha anatabasamu...pengine alizania kua labda mwanamfalme ametabasamu kinafiki tu kuna mpango mbaya anataka kuufanya... Ulijuaje?..aliuliza Fasha. Unataka nikwambie alieniambia ili nae ummalize?..aliuliza Dom. Mhh...ila ni halali uhisi hivyo..sikulaumu..ila siku mpja utakuja kujua nia yangu ya kweli alisema Fasha. Mimi naondoka..ila nakupa taarifa tu kua kaa mbali na Rania.. Hutompata kamwe..alisema Fasha. Rania yeye hajasema nikae mbali na yeye..au nakosea?..alisema Dom. Fasha ilimchoma maana ni kweli kichwani kwa …