RANIA (29)

Zephiline F Ezekiel
RANIA (29)
JINA: RANIA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA ILIPOISHIA... Fasha,Liwalo na liwe mimi naenda kumsaidi Rania... Alisema Dom. Walitoka wote kwa kasi kubwa kwenda kumsaidia Rania.. Kumbe muda huo wapambe wawili wa ngomeni pale walikua wameshawaona...ile wanaondoka kumsaidia Rania wale wapambe walifyatua mishale yao na...... SASA ENDELEA.. Dom na Fasha wakiwa wanaelekea alipo Rania ili wamsaidie mara Dom alishtuka kuona mshale wa kwanza huo unaelekea kutua kwenye bega lake la kulia... Bila kuchelewa aliupangua na kumvuta Fasha pembeni ili ule mshale wa pili usimpate... Alifanikisha kujiokoa na kumwokoa Fasha. Hatuna muda wa kupoteza..haraka twende....alisema Dom. Walikimbia na kwenda kujificha sehemu fulani na bila kuchelewa Fasha alifyatua mshale ambao ulienda kutua moja kwa moja kwenye mkono wa yule mtu aliekua anajipanga kumkata Rania mkono. Suya na watu wote waliokua pale walishtuka sana kuona hivyo.. Wakiwa wanashangaa bado Fasha na Dom walifika pale na kuanza kuwashambulia. Watumis…