AISEE KUMBE RAHA (20)

Zephiline F Ezekiel
AISEE KUMBE RAHA (20)
JINA: AISEE KUMBE RAHA Mwandishi: Pablo SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA... "Hivi david wewe na baba mko vipi maana urafiki wenu sijaonaga aisee."Nikajikuta nikimuuliza david swali ambalo baada ya kulisikia akaachia tabasamu kidogo kisha akaniangalia na kuanza kusikitika. SASA ENDELEA... "Baba yako amenisaidia vitu vingi maana baba yangu mimi alikuwaga anafanya kazi kama ya baba yako hiyo ya magali.Sasa katika familia yetu nipo peke yangu yani baba na mama kisha na mimi na baba na mama wote hawakuwa labda na watoto nje ya ndoa sasa Mama akafariki ghafla miaka kama kumi nyuma alipokufa mama haikupita hata miezi miwili baba akapata ajali naye akafa sasa sikuwa na kimbilio lolote ndipo baba yako sasa akachukua jukumu la kunilea akanitengenezea Mazingira mazuri hapa morogoro akaniwekea watu wakuniongoza Aisee nimepiga sana pesa kwa hiyo mimi baba yako ni baba yangu kwa sababu daaaah amenisaidia kama mwanae yani." "Daaah aisee pole sana." "Ila pablo leo sitaki kukuc…