
SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA
Nikaingia Chumbani kwangu kwa hasira hali iliyosababisha hata rozinta ashtuke na nilikuwa nahema juu juu huku sura yangu nimekunja kwa hasira hali iliyosababisha rozinta atumbue Macho na Hofu kubwa kumshika hadi kupelekea kujiweka vizuri kwa kujifunika na shuka kutokana na yeye kuwa hana Nguo."Rozintaaa."......
SASA ENDELEA...
Nikamuita rozinta kwa hasira jambo ambalo lilionekana kuzidi kumtia hofu."Abee." Rozinta akaitia huku akinitazama kwa umakini wa hali ya juu jambo ambalo lilianza kunifanya presha yangu kushuka taratibu baada ya kuambiwa maneno yale kuhusu rozinta na mpangaji mwenzangu.Kwa hakika macho ya rozinta yaliokuwa makubwa kiasi yalizidi kunimaliza na hata alivyokuwa akiniangalia kwa shauku kubwa ya kutaka kujua nini nilichomuita kwa hasira.Hasira zangu taratibu zikapungua na kutulia kimya kama sio mimi niliyemuita rozinta ambaye alikuwa wakati huo kitandani.
"Aaaaa kwanza yule jamaa atakuwa muongo maana alisema eti ana ukimwi wakati nimeenda kupima naye yupo salama." Maneno hayo yalinijia kichwa changu na kusababisha nipoe kabisa na hata nguvu yote ile niliyotumia kumuita kwa hasira ikapungua kabisa na kugeuka tabasamu niliachia tabasamu pana ambalo likaonekana kumtoa hofu rozinta ambaye alishusha pumzi.
"Ndio nini wewe jamani kunitisha namna hiyo Mwenzako sipendi."Rozimta akaniambia vile na mimi wala sikumjibu nikamsogelea na kumpiga busu la shavu kisha nikasogea mpaka katika kabati langu na kutoa sahani mbili na kuweka zile chips katika kila sahani moja nikafungua frigi na kutoa chupa mbili za soda ambazo zote nikazingua na moja nikakaa nayo mimi na nyingine nikampa rozinta ambaye aliipokea na kukaa vizuri na wote tukaanza kula.Chakula kwangu kwa hakika hakikupita vizuri kwa sababu ya rozinta ambaye alikuwa akila chakula kwa mapozi na kunitega sasa kwa kukaa mikao ya hasara hasara iliyosababisha nione kila kitu kwake kutokana na yeye kuwa kama alivyozaliwa pale.Uzalendo ukanishinda baada ya hali yangu kuwa mbaya msumari wangu ulisimama ile sana mpaka kufikia wakati kuuma nikaacha chakula changu nilichokuwa nakula kwa kukiweka pembeni kisha nikamsogelea rozinta kitandani ambaye naye akaacha kula na kunipokea kwa mabusu mazito mazito yaliyoturudisha katika mtanange mzito ambao haukuwa na refa ambaye labda angezuia rafu mbalimbali zilizokuwa zinajitokeza.purukushani za hapa na pale zikaanza sasa na kwa muda ule rozinta hakutaka kabisa nimpelekeshe kama mwanzo nilivyomfanya baada ya kupigana sana mabusu ambayo yalisababisha kila mtu amsike mwenzio sehemu za hapa na pale rozinta kwa wakati huo akaniambia nilale jambo ambalo nikalikubali kisha yeye akanikalia kwa juu na kupiga magoti na kuukalia msumari wangu vizuri kisha akaanza kukizungusha kiuno chake kwa kasi ya ajabu hali iliyosababisha mimi nipagawe sasa.Kwa hakika raundi ile ambayo kila mtu sasa alishiba rozinta alitaka kunikomoa kabisa jambo ambalo sikulitaka litokee na mimi nikajibu mapigo yangu kiufundi na kusababisha nirudi dimbani na kuanza kuutawala mchezo ule mzuri ambao ulisababisha nimwagiwe sifa kadha wa kadha na rozinta ambaye huku nikiwa nampa mapigo akadirika hadi kuniambia nimuoe kwa sababu ya raha nilizokuwa nampatia bila ya kumnyima.Tulipomaliza raundi ile ya mbili hakuna aliyelala tena wote tukaonganisha na raundi ya tatu ambayo ilituacha hoi Rozinta hakutaka kabisa kuondoka chumbani kwangu licha ya kumwambia sana aondoke chumbani kwangu muda ule wa usiku ili kuepusha wapangaji wengine pamoja na Mwenye nyumba kujua lakini swala langu likagonga mwamba rozinta alisimamia msimamo wake na mimi sikuwa na la kupinga usiku huo ukaisha na wote tukalala pamoja.Asubuhi na mapema nikaamka lakini kwa bahati nzuri nikakuta tayari rozinta ameshaondoka chumbani kwangu kama kawaida nikachukua maji katika ndoo na kuelekea chooni kuoga nilipofika tu maeneo ya chooni uso kwa uso nikakutana na mpangaji mwingine ambaye alinisimamisha kabla ya mimi sijaingia chooni.
"Pabloo si ndiooo eeee "
"Ndiooo jomba inakuaje "
"Aaaaa shwari tu mwanangu kuna kitu nataka kukuambia maana usije ukapotea muda si mrefu hapa morogoro hivi lengo lako kuja huku kufanya nini kijana mwenzangu."Mpangaji mwenzangu akaniambia na kusababisha nitue ndoo yangu na kuiweka chini baada ya kuishika mkononi Maneno yake yalinishangaza sana.
"Mmmh sasa kwanini unasema hivyo.??"
"Aaaaa mimi nakuambia tu huyo rozinta unayetembea naye hafai mwanangu hafai ana ukimwi halafu anajiuza yani wana kibao wanamjua anajiuza Mwanangu yani kama umelala naye yani namaanisha umefanya naye mapenzi tena kavu kavu ujue Basi umekwisha tena umekwisha kabisaa Maana leo nimemshuhudia Asubuhi akitoka katika geto lake." Maneno ya yule mpangaji mwenzangu yalinishtua sana alikuwa ni mpangaji wangu wa pili kuniambia vile hali iliyosababisha nishangae sana yale aliyoniambia yalipenya sana masikioni Mwangu na kujikuta nikikosa la kuongea na kubaki nikitumbua macho tu.
"Utakapotaka Kujua Afya yako kijana nitafute mimi nikupeleke mjini kupima maana hospitali nyingi za huku za upimaji wa ukimwi anawahongaga." Mshtuko wa nguvu ukanipata moyo wangu ukawa unadunda kwa kasi ya ajabu kuliko maelezo baada ya mpangaji mwenzangu kunidokeze yale maneno akaondoka na kuniacha nikibaki kujiuliza maswali mengi ambayo kwanza yalinisababishia kichwa changu kuanza kuuma.kiunyonge nikaingia chooni na kuanza kuoga huku nikifikiria mambo mengi ambayo yule mpangaji mwenzangu aliyoniambia.
"Mmmh lakini kuna kitu."Ghafla nikiwa naoga nikapata mawazo mapya ambayo niliyaona kama yatanifariji.
"Aaaaa nishakumbuka unajua katika maisha ukisikiliza sana Maneno ya watu mwisho wa siku utafanikiwa Maana najua sehemu nyingine watu ni wambeya sana kupita maelezo maana vile vipangaji vinajuana na wala sitamuuliza hata neno rozinta wangu maana nitamsumbua na kumkera nampenda Rozinta wangu waniache mie." Nikajisemea peke yangu nikiwa nipo chooni naoga hakika kile nilichoambiwa nikakipotezea kabisa na kusahau ule msemo uliokuwa na maana kubwa kuwa Lisemwalo lipo na kama halipo basi laja baada ya kumaliza kuoga nikatoka na hali mpya kabisa hasa ya kufanya kazi na nilipofika kazini katika ofisi yangu nikakuta messeji ya rozinta.
"Bby samahani jamani sijakuaga wakati nilipotoka nimeenda kazini bby ila nitawai kurudi nikupikie mume wangu."..............
Ilikuwa ni messeji ya rozinta iliyoingia katika simu yangu baada ya kuiwasha simu yangu furaha ilioje ikajaa katika moyo wangu nakujiaminisha kabisa kuwa rozinta ananipenda sana kwa Asilimia mia moja.Taratibu nikaichukua ile simu yangu nakuibusu kwa furaha sana na kumjibu rozinta ile messeji yake kwa kumjibu na mimi kwa kumuandikia messeji tamu ambayo pia ilijibiwa sitakuacha daima mume wangu.Ukurusa wa Mapenzi baina yangu mimi na rozinta ndio ukafunguliwa kwa wakati ule kama ujuavyo mapenzi hayana siri tulificha ficha lakini kila mtu akajua kuwa mimi na rozinta tulikuwa mwili mmoja jambo ambalo lilisababisha sasa tuache kuficha na kuwa pamoja kabisa na kuwaonyesha watu kuwa sisi na wapenzi hadi kufikia hatua ya mimi na yeye kujiachia hata mitaani kwa kutembea tukiwa tumeshikana kimahaba.Lakini licha ya watu kujua lakini maoni ya watu ambao kwa muda huo walinifata mimi tu wengi wao walinishauri niachane na rozinta kuwa si Mwanamke wa kuoa kwa sababu ni malaya lakini mimi sikuwasikiliza kabisa maneno yale.
"Bby hao wanakijiba cha roho na hakika watakula nyama mbichi na ukiwasikiliza hao kila siku utakuwa unagombana na mimi wewe usiwakilize tuishi maisha yetu." Yalikuwa ni majibu ya rozinta baada ya mimi kumuuliza yasemwayo na majirani na watu mbalimbali mitaani na kwa hakika lake hilo liliaminisha kabisa na kukubali kuwa ukitaka kufanikiwa katika maisha basi usiwasikilize watu.Nakumbuka siku moja nikiwa nimerudi tu katika nyumba ninayokaa baada ya kufunga mapema siku hiyo kutokana na kuambia na kaka david nipumzike kutokana na uchapaji wangu kazi.Wakati nafungua mlango mama mwenye nyumba akatokea na kuniambia anataka aingie ndani ya chumbani kuna kitu anataka kuniambia wala sikubisha nikaingia na kumkaribisha kwenye kochi mwenye nyumba ambaye naye hakusita alikaa na kukohoa kidogo.
"Enhe nambie Mama yangu kipenzi."
"Mmmmh koh koh koh mjukuu wangu nina jambo moja tu nataka kukuambia."
"Aaaaanha usijali mama nambie tu wewe ni Kama mama yangu."
"Mmmh sawa pabulo mwanangu mimi mkubwa na wa kwanza kuona jua mwanangu unajua rozinta namfahamu fika binti yangu yule mama yake ni shoga yangu mkubwa sana tena sanaa yani ni marafiki tulioshibana siku nyingi wewe mgeni na kwa sasa hivi una miezi mitatu mwanangu nisiongee sana mchelea mwana hulia kivulini rozinta baba sio mwanamke wa kuwa na wewe hana haya kuuza mwili wake ujue hana haya kabisa." Maneno ya mama mwenyenyumba yakapenya katika masikio yangu lakini yalipopenya yaliingilia kulia na kutokea kushoto Nguvu ya mapenzi ya rozinta yalikuwa yamenikamata sasa na kuona kila kitu wanaosema watu yalikuwa ni wivu tu.
"Haaa mama hata wewe una wivu jamani Mama angu."Neno likanitoka na kumuambia mama mwenye nyumba ambaye kwa majina mengine alifahamika kama Mama sabra au Mama samira na aliposikia jibu langu akatingisha kichwa chake kwa masikitiko makubwa.
"Mmmh Mwanangu aliyekuroga bado anaishi kwa hiyo fanya mapema akuengue na ukumbuke kwamba asiyesikia la mkuu huvunjika guu asiyefunza na Mamaye hufunzwa na ulimwengu."Mama mwenyenyumba alihitisha na kutoka ndani kwangu na kuniacha mimi nikibaki na maswali mengi yakajiuliza kutokana na Maneno yake ambayo nilipoyakumbuka palepale yalionekana kuwa na maana sana kwangu.lakini baada ya mama mwenyenyumba kutoka rozinta akaingia lakini uso wake ulikuwa umefuraha kwa hasira jambo ambalo lilinipa wasiwasi na kujikuta nikisimama kabisa na kumuangalia.
"Hivi pablo unanitafuta nini.??" Rozinta akaanza huku akiwa amenishikia kiuno na kubetulia mdomo wake kwa maringo.
"Mmmh sasa mimi nimefanyaje rozinta mke wangu."
"Kwanini umemkaribisha huyu mama ndani humu haujui kama yule Mama ni mchawi kabisa na hapendi maendeleo ya watu haujui na nilishakukataza sana." Mshangao ukaniingia haraka na kujikuta nikimuangalia rozinta kwa huku nikimshangaa kwa sababu sikuwai kumsikia rozinta akipayuka namna ile huku akimsema Mama mwenyenyumba.Alikuwa akiongea sauti ya juu hali iliyopelekea mpaka nimkamate na kumziba mdomo wake kuepusha wapangaji wenzangu na mama mwenyenyumba kusikia kile alichokuwa akikizungumza kwa hasira.
"Mmmmh Niachee niachee bwana..aaa niache." Rozinta alilamika baada ya mimi kumkamata vizuri na kufanikiwa kumziba na mdomo wake ili asiendelee kuongea na nilipomuona analeta ubishi akili yake ikaniingia nikaanza kumkamata rozinta vizuri na nilipohakikisha awezi kufurukuta nikaanza kumshika katika matiti yake kwa ufundi hali iliyosababisha alegee.Hali ikabadilika ghafla ugomvi ikageuka na kuwa ugomvi mwingine wa mapenzi baada ya kuona rozinta tayari ameshalegea nikamnyanyua kwa kumbeba na kumtupa kitandani kisha na mimi nikapanda nikamvua rozinta nguo zake zote kuanzia kitop chake alichovaa mpaka na sketi yake aliyovaa na alikuwa ndio muda huo anatoka kazini kwake.Sikujali uchovu wake wa kazi nikaanza kumpa dozi nzuri kwa ufundi ili kumpotezea na Maneno yale aliyokuwa anayatamka ambayo kwangu mimi sikuyapenda kabisa na nilitaka kulinda heshima yangu kwa wenzangu niliokuwa naishi nao.Siku zikaendelea kusonga mbele huku uhusiano wangu mimi na rozinta ukizidi kupamba moto hakuna aliyemchoka mwenzake hasa ilipofika suala ya kupeana vitu adimu kila mtu alimjari mwenzake kwa kila kitu.Hata david ambaye mara nyingi alikuwa akija nyumbani pale nyumbani nae alitunuku uhusiano wetu wakati tukiwa pamoja lakini nilipokuwa naye david peke yetu alikuwa akiniambia sana niwe Muangalifu.Baada ya kuona sasa mimi nimefika kwa rozinta naye yeye amefika kwangu habanduki na wala hatoki ndipo nilipoona sasa ndio njia ya kuwataarifu wazazi wangu hasa Mama ambaye alipokea habari hizo kwa furaha ya hali ya juu lakini pia akaniporomoshea na maswali.
"Hongera sana Mwanangu yani hongera lakini pablo je huyo mwanamke tabia yake je ni pendwa kwa watu unaokaa nao huko."
"Mmmmh ndio mama anapendwa sana tabia yake njema na kila mtu anamsifia kwa kuwa anaishi vizuri na watu pia anajichanganya sana." Nguvu ya mapenzi ilipelekea kumpamba sana rozinta kwa mama yangu ambaye alifurahishwa sana kusikia mimi nimepata Mwanamke bora ambaye alisema kwa kipindi hicho yeye alikuwa akiniombea nimpate.Siku hiyo kwa hakika nilifurahia sana baada ya mama kunihaidia kuwa mwezi unaofuata atakuja kunitembelea akiongozana na baba ili kuja kumuona rozinta.Habari hiyo ilinifurahisha sana na kumsubiri rozinta kwa hamu kubwa ili nimuambie wazazi walichosema. kweli kama kawaida aliwasili mapema rozinta nyumbani na breki ya kwanza ilikuwa chumbani kwangu lakini alinishangaza siku hiyo aliingia ndani akiwa na huzuni na tena alikuwa akilia.
"Jamani baby mke wangu rozinta unalia nini tena."
"Yani baby hapa Nimechanganyikiwa kwa sababu nimepigiwa simu kijijini kwetu hali ya mama ni mbaya sana na kesho natakiwa niende mume wangu"............
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com