AISEE KUMBE RAHA (28)

Zephiline F Ezekiel
0
Mwandishi: Pablo

SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
"Jamani baby mke wangu rozinta unalia nini tena."
"Yani baby hapa Nimechanganyikiwa kwa sababu nimepigiwa simu kijijini kwetu hali ya mama ni mbaya sana na kesho natakiwa niende mume wangu"............

SASA ENDELEA...
Yalikuwa maneno ya rozinta yalinifanya nitumbue macho kidogo huku nikiwa na masikitikio makubwa sana baada ya kuambiwa habari hiyo ambayo rozinta baada ya kuniambia aliendelea kuangua kilio na mimi ikabidi niutumie muda huo kumbembeleza.
"Jamani rozinta pole Jamani pole sana lakini ataponaa tu kwani anaumwaa nini."Nilimuuliza rozinta ambaye kama nilimchokoza maana aliongeza kilio ambacho kilisababisha hata mimi mwenyewe nitokwe na machozi kutokana na kumuonea huruma sana rozinta.
"Rozinta usilie hivyo unaniumiza moyo wangu Nambie mama anaumwa nini basi hata kidogo."
"Mama...anaumwaga Pumu baby soo imemshika sana na hali mbaya sana baby nalia naumia kwa sababu hali hii alivyonambia Daktari ameniambia tunaweza kumkosa."rozinta aliniambia huku akinikombatia na wote tulikuwa tunalia ingawa mimi nilikuwa namfuta rozinta machozi huku na mimi nikijifuta kwa kutumia nguo yangu.Mimi nilikuwa nalia kimya kimya kama kawaida ya mtoto wa kiume lakini rozinta alikuwa akilia kwa sauti ambayo ilisababisha mpaka muda mwingine nimzibe mdomo asilie na kusababisha watu wengine kusikia.

"Haya baba nyamaza usilie basi kesho nitakusindikiza twende wote."
"Hapana pablo wee acha niende baby wangu sitakawia huko kurudi nakuomba."
"Aaaa jamani rozinta na mimi nataka nikamuone Mama."
"No hapana mama mgonjwa sana halafu nyumbani mbali ujue ni kijijini yani hapa unapanda kama gari nne juu ni mbali kwa hiyo pia nakuomba unipatie kiasi cha kama laki nne au tatu inisaidie kufika haraka." Rozinta alikataa katakata nilipomwambia kuwa na mimi nataka kwenda kwa mama na aliponiambia kuhusu suala la pesa sikuwa na sababu ya kubisha kwa sababu nilikuwa na pesa nyingi za kutosha kwa hali hiyo nilimuahaidi kesho yake nitamkabidhi pesa ile.

"Jamani ahsante sana pablo kwa moyo wako hakika sijui Mungu atakulipa nini mume wangu ila nakuomba kitu kimoja tukifanye leo Mume wangu."
"Aaaaaaa usijali wewe mke wangu mtarajiwa niambie tu."
"Naomba tufanye mapenzi maana nitakumisi sana tena sanaa maana naona kama nitachelewa kumuuguza mama." Maneno ya rozinta yalijieleza kabisa na mimi sikuwa na ubishi wala kuongeza chochote cha kuongea taratibu mikono yangu ikatua mpaka katika kifua kizuri kilichobeba matiti yalioyojaa vizuri na kusababisha kuonekana kama embe bolibo na kuanza kumpapasa na kusababisha rozinta sasa kubadilisha mikao yake ya ukaaji mara ajibidue hivi mara vile taratibu akanipa mdomo na kuanza kupeana denda ambalo kila mtu alionekana kumtamani mwenzake.Presha ilipozidi kupanda nikafungua vifungo vya rozinta vya nguo yake ya juu na yeye akanifungua vifungo vyangu vya shati.baada ya mimi kumaliza kumvua nguo yake ya juu nikaanza kuyafakamia matiti yake kwa kuyanyonya bila ya huruma na kusababiha rozinta asindwe kuvumilia akaanza kuhema na kutoa miguno ya raha na yeye hakuwa nyuma mkono wake ukatalii katika karoti yangu na kuipapasa na kusababisha nizidi kuongeza ufundi wa kumnyonya rozinta matiti yake ambayo nilikuwa nanyonya na chuchu zake zilizosimama vizuri.Rozinta akawai kulegea na kuniachia mwanaume nifanye ninachojisikia kama mtoto wa kiume sikuwa na sababu ya kumuacha nikamchojoa na nguo yake ya chini na mpaka na nguo yake ya ndani kisha nikaanza kunyonya ikulu yake kwa ufundi huku nikichezesha na ulimu wake katika nanii yake na kusababisha rozinta azidi kufurahia na kunipa sifa zangu nilizotakiwa kusifia kama mwanaume anayemkosa mpenzi wake na baada ya kuona Mambo yanazidi kwa rozinta ambaye alikuwa sasa akirembea rembua kama mtu anayesikia usingizi nikaingiza karoti yangu katika ikulu ya rozinta na kuanza kumsugua haraka haraka rozinta.
"Aaaaaaa....mmmmh uwiiiii oooooo..uwiiiii mamaa....yesss pung..uza spidiii utan...iuaaaaaaa ooooo.." Raha ziliongezeka kila Mambo tuliyokuwa tukiyafanya kila mtu alimfurahia na kumtomchoka mwenzake siku hiyo na tulifanya mapenzi mimi na rozinta karibia usiku kucha mpaka wote tukachokana.Asubuhi na mapema nilipoamka mimi na yeye rozinta aliamka huku akiwa na majonzi yaliosababisha mpaka na mimi kujisikia vibaya kwa sababu ya rozinta ambaye aliniambia kuwa safari ile atachelewa kurudi.

"Pablo wewe ni Mume wangu ingawa haujanioa baby mimi naondoka lakini usimwambie mtu safari yangu maana wachawi wengi huku wasije ndio wakammalizia mama yangu kabisa maana wanapenda sana kusikia mtu akiumwa maana hata mama huyu mwenyenyumba sitaki ajue kama mama anaumwa."
"Lakini baby uliniambia mama huyu na mama yako ni mtu na rafiki yake kwa hiyo..."
"Eeeeee pablo urafiki wao kitambo na ndio nakuambia usimwambie mtu umenisikia eeeee.."
"Haya."
"Nakuomba unitunzie penzi langu mpaka nitakaporudi." Sikuwa na sababu ya kupinga maneno ya rozinta ambaye baada ya kuongea sana tukiwa katika stendi ya magari ambayo ndio alikuwa akipanda huku mikononi akiwa ameshika begi lake la nguo.Baada ya gari lake kuliona linakuja akanibusu mbele ya watu ambao walishangazwa sana na kitendo kile kutokana na kuona kama jambo la ajabu kisha akapanda na kunipungia mkono na kuniaga hali iliyopelekea mpaka machozi kunitoka kutoka kutokana na kumpenda sana rozinta.Siku zikaanza kukatika kidogo kidogo huku tukiwa tunawasiliana mimi na rozinta katika simu yake hakika hali ya upweke kwangu ndio ikachukua nafasi yake kutokana na kumzoea sana rozinta.Mwezi mzima nilikuwa na wasiliana tu na rozinta katika simu wapangaji wenzangu akiwepo Mamanyumba nao walikuwa kimya kabisa hakuna aliyeuliza kama rozinta alikuwa ameenda wapi jambo ambalo lilinichanganya kidogo pale nyumbani.Nakumbuka zilipita kama wiki mbili nzima bila ya kuwasiliana na rozinta ambaye nilipokuwa nikimpiga simu alikuwa apatikani jambo ambalo lilisababisha hofu kubwa sana kwangu.Hapo ndipo nilipoamua kukata shauri nikaenda moja kwa moja mpaka kwa mwenye nyumba.

"Mama nina Mazungumzo na wewe kidogo."
"Anhaaa Mwanangu usijali nambie tu hapa hapa."
"Eti Mama nilikuwa nakuomba unielekeze nyumbani kwa akina rozinta kijijini kwao niende kumuona Maana alinianga mwezi sasa anaenda kumuuguza Mama yake alikuwa anaumwa Pumu sasa ndio nataka unielekeze."
"Hahahahahahahahahahaha Haloooow."...

Hali ya mshangao ikachukua nafasi yake baada ya Mama mwenyenyumba au kwa jina lingine unaweza kumuita Mama samira au Mama sabra kuangua kicheko cha kashfa ambacho kilisababisha nishangae baada ya mimi kumuuliza swali.
"Aaaa Mama si nimekuuliza swali jamani mbona unacheka sasa." Nikajikuta nikiongea na kumwambia mama mwenye nyumba kiunyonge na kusababisha kicheko kingine cha nguvu kichukue Nafasi yake hali iliyosababisha nibaki na kumuangalia Mama huyo bila ya kuongea tena chochote.
"Mwanangu usinione Mimi mbaya sana kwa kuangua kicheko au labda nimecheka kwa kejeli wala maana ulichoniambia kwangu ni kichekesho ndio maana nimecheka Mwanangu pabulo."Aliniambia Mama mwenyenyumba na kusababisha nimuangalie kwa umakini maana kile alichoongea kwangu ilikuwa kama fumbo kwa sababu aliniambia maneno yangu yanachekesha angali maneno yangu yalikuwa si kichekesho kwangu.

"Pablo wewe ulivamia mji wa watu kwa pupa na ulipokuwa unaambiwa ukweli ukajifanya wewe mjuaji sana wa Mambo wapangaji wenzako natumaini walikuambia kuhusu rozinta anajulikana na kila mtu hapa tabia yake ya umalaya haaaa samahani bwana ninakujibu jibu lingine kiufupi Pablo mama yake rozinta mzima Mama yake ninayemjua mimi ni mzima maana nimetoka kuongea naye leo na naongea naye kila siku."Maneno ya mama mwenyenyumba yalizidi kuninyong'onyesha na kusababisha roho yangu ianze kuuma kupita maelezo hasira kali zikaniinga lakini sikuwa na jinsi baada ya kuniambia maneno yale taratibu nikageuza mgongo wangu na kuanza kuondoka bila ya kutoa jibu lolote baada ya kusikia maneno ya mama sabra lakini kabla hata sijafika mbali mama sabra au Mama mwenyenyumba akaniita na kusababisha nigeuke tena nyuma na kumfuata.

"Sikia ukitaka kwenda kwa Mama yake rozinta nenda hapo stendi si unapajua basi ukifika hapo unatoana Magali yameandikwa Mlali ni mbali kidogo panda mwambie konda unashuka sehemu panaitwa kipera hapo utaona watu wengi maana ni sehemu watu wanafanya biashara biashara zao wewe ulizia kwa akina mama rozinta utapelekwa maana nimekuambia tu usije ukasema Labda mama mwenye nyumba ana roho mbaya." Mama mwenyenyumba aliponiambia vile sikuwa na sababu ya kusibiri haraka nikageuka na kutembea haraka haraka mpaka ndani kwangu na sikuwa na sababu ya kusibiri sana kwa sababu ilikuwa ni jumapili ilikuwa ni siku ambayo nilikuwa nipo off siendi kazini.Baada ya kuingia ndani nikavaa nakuchukua baadhi ya pesa kidogo na kutia mfukoni kisha taratibu nikatoka kwenda sehemu niliyoelekezwa.Niliamua kwenda ili kupata uhakika mzuri wa yupo wapi rozinta kwa sababu sikutaka kuamini kwa wakati ule maneno yote ya watu walioniambia kuwa rozinta eti alikuwa malaya.Safari yangu ikaanza haraka nikaenda kituoni kwa mwendo wa kukimbia na nilipofika pale kituoni kama Mungu tu nikapata gari liliondikwa Mlali kama nilivyoelekezwa na Mama mwenyenyumba.

"Konda naomba ikifikia kipera unishtue maana mimi mgeni sipajui."
"Sawa kamanda lakini kipera mbali sana na tutakapofika mwenyewe utapoona Maana ni sehemu ya biashara hapo." Safari ikaanza huku nikibahatika kupata na siti ya kukaa mawazo yalizidi kuniandama maneno ya watu walioniambia sasa kwa mbali nilikuwa naamini ukweli wake hali iliyosababisha roho yangu izidi kuniuma kwa sababu rozinta alikuwa ni mwanamke ambaye nilimpenda na kumuamini kupita maelezo.hakika umbali ulikuwa mrefu sana kutoka pale nyumbani mpaka kipera sehemu ambayo nilielekezwa na mama mwenyenyumba kuwa ndio sehemu ambayo rozinta ndio aliponiambia kuwa anakwenda.Nilikaa kwenye gari mpaka nilichoka na nilitoka mida ya saa tatu asubuhi na kufika kule mida ya saa sita mchana na masaa matatu yote nilikuwa nimekaa kwenye gari tu na wala njia tuliyopitia haikuwa na foleni au wala wingi wa magari na magari tuliyopishana nayo yalikuwa machache.Watu wengi walishuka kwa wingi baada ya kufika hapo maeneo yanayoitwa kipera nikiwepo na mimi sehemu ile watu walichangamka mno na ilionekana kama mjini kutokana na wingi wa watu waliokuwa wengine wanatembea wengine wamekaa wengine walikuwa wakikimbia kimbia uchangamfu ule ulitoka na sehemu ile kuwa na soko kubwa na watu walikuwa wakiuza mazao yao ambayo walikuwa wamevuna kwa wakati huo na wanunuaji pia nao walionekana kwa wingi hali ilipelekea mpaka kila muuzaji kuonekana kuwa na mteja.Kama dakika mbili nzima nilikuwa nimesimama na kusoma mazingira ya pale na niliporidhika taratibu nikasogea mpaka kwa mzee mmoja aliyeonekana mcheshi kutokana na alivyokuwa akiongea kwa ucheshi na kuita wateja ambao wengi walimiminika kwake kwenda kununua nyanya nikamsogelea mpaka pale na kumsalimia.

"Marhaba kijana unaonekana mgeni maeneo haya haya nambie ulikuwa unataka nyanya kiasi gani maana hapa fungu mia tatu kwa mia mbili."
"Hamna mzee sitaki nyanya kuna kitu nilikuwa naomba nikuulize."
"Uliza tu kijana kuwa mjanja wewe."
"Eti nauliza kwa mama rozinta unapajua."
"Anhaaa yule binti yake rozinta malayaa malaya maana hapa mjukuu wangu kawamaliza wengi."
"Eeeeeeeee hayo mimi sijui." Nilimjibu yule mzee ambaye baada ya kusema rozinta kuwa malaya malaya kiliniumiza moyoni.Mzee yule akamuita kijana wake ambaye alikuwa mdogo mdogo na kumuambia anipeleke kwa mama rozinta na bila ya kusita haraka mimi na yule dogo tukaanza kwenda kwa mama rozinta na hakukuwa mbali na pale yule mtoto baada ya kufika karibia kwa mama rozinta akanielekeza kwa kuninyooshea kidole na kuondoka huku nikimpatia na mia tano ambayo kwake aliona kama bahati vile.Nilifika mpaka pale na nje ya ile nyumba niliyoelekezwa kuwa pale kwa mama rozinta niliwaona wamama watatu ambao walikuwa wamekaa katika mkeka na waliponiona walinikaribisha kwa ustaraabu mzuri tu.

"Shikamooni namuulizA mama rozinta nimemkuta."
"Heee mtume basi malaya wangu rozinta ameshaaharibu maana namwambiaga mimi aache Muda mwingine enhee kaka ndio mimi mama yake nambie.......

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)