AISEE KUMBE RAHA (29)

Zephiline F Ezekiel
AISEE KUMBE RAHA (29)
JINA: AISEE KUMBE RAHA Mwandishi: Pablo SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA ILIPOISHIA... "Shikamooni namuulizA mama rozinta nimemkuta." "Heee mtume basi malaya wangu rozinta ameshaaharibu maana namwambiaga mimi aache Muda mwingine enhee kaka ndio mimi mama yake nambie....... SASA ENDELEA... BMwili wangu ukapigwa shoti ya ajabu kwa kile alichokijibu mama yake rozinta ambaye nilipomuangalia vizuri alikuwa sio siri amefanana na rozinta hata alivyokuwa akiongea.Hakika jibu lake lile lakuniambia malaya wangu rozinta ndio lilinifungua na kuamini sasa kwa mbali kuwa rozinta alikuwa ni Malaya wa kutupwa hadi mama yake anamjua nikajikuta nikiishiwa pozi na kukaa kwenye mkeka pasipo hata kuambiwa kuketi maana muda ule kichwa changu kilianza kuuma kupita maelezo. "Hee vipi Mwanangu tena umeniambia unamuuliza Mama rozinta ndio mimi sasa niambie una shida gani."Yule mama rozinta akaniuliza na kusababisha nimuangalie huku machozi yakinilenga lenga na kusababisha niwashangaze mama rozinta n…