LISEME JINA LANGU (13)

Zephiline F Ezekiel
LISEME JINA LANGU (13)
JINA: LISEME JINA LANGU Mwandishi: Pablo SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Baada ya kutoa akarudishia vile vile kisha akanikabidhi vile vitu na mimi nikavipokea kisha akanisogelea karibu kabisa nakuanza kunipa mdomo wake kwa lengo la kunipa denda na mimi nikaupokea kwa ufundi wa hali ya juu SASA ENDELEA... "Moureen!!,moureen,Si muda wake sasa subiria kama nitaweza kutoka salama" "But..ba..by nimekumiss mpenzi ni kitambo sana ujue" "No..sio muda wake" Nilimuambia moureen huku nikimtoa katika kifua changu alichokuwa ameegea baada ya denda la kama nusu dakika kisha nikamshika mkono na kutoka naye nje ambapo moja kwa moja tukarudi sebureni.Baada ya kufika sebereni Nikachukua dude la kuvutia sigara linaloitwa shisha na kukaa nalo karibu na kuanza kuwasha moto na kuanza kuvuta shisha hilo huku mikononi mwangu kukiwa na makaratasi yote.Nilimwambia moureen asogee karibu yangu kabisa kisha nikaitoa bastola yangu mfukoni na kumkombatia moureen kwa ule mkono uliokuwa na …