LISEME JINA LANGU (8)

Zephiline F Ezekiel
LISEME JINA LANGU (8)
JINA: LISEME JINA LANGU Mwandishi: Pablo SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... "WEWE NI MWANANGU NA KAMWE HAUWEZI KUNIKIMBIA MIMI NAPENDA KUKWAMBIA NIKUKAMATA WEWE NA HUYO MBWA WAKO VICHWA VYENU HALALI YANGU"....... SASA ENDELEA... Baada ya kusema maneno hayo yaliokuwa yakitoka kinywani kwa baba moureen kupitia kwenye simu wote tukajikuta kwa hofu tukiangaliana huku kila mmoja akiwa ana waza lake tukiwa ndani gari hilo huku mimi nikiendelea kukiangalia kidonda changu ya sehemu niliyopigwa risasi.tukiwa katika hali hiyo ghafla simu ya moureen ikaita tena na kwa shauku kubwa wote tukajikuta tukiweka mkazo wa umakini kuangalia simu hiyo iliyokuwa ikiita. "Moureen unaendeleaje huko." "Baba amenipigia simu na kuongea maneno ya kutisha huku akisisitizia akitukamata basi vichwa vyetu halali yake" "Dooo vp Pablo anaendeleaje hapo." "Kidogo anaendelea vizuri." "Pouwa basi ondokeni haraka sana kutokana sasa hivi wameichukua simu yako na kuanza kuingiza katika …