MAMA MWENYE NYUMBA (2)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Kwa msaada wa taa zilizopo pale kwenye uwanja wanyumba yake akaona geti dogo likifunguliwa, nakufwatiwa na kuingia kwa kijana mmoja mwenye umbo zuri lakiume, akiwa amebeba begi dogo mgongoni. SASA ENDELEA... Moja kwamoja akajuwa huyu ndie mpangaji wake mpya "karibu pole na masomo" aliongea Suzana nakumfanya yule kijana kustuka sana, maana inaonyesha hakuutambua uwepo wa Suzana pale, asa ukizingati niusiku sana, "sante sana, habari za leo dada" alijibu yule kijana akiamalizia kufunga geti na kumsogelea Suzana "nzuri birashaka wewe ndiye mpangaji mpya mwana chuo?" aliuliza Suzana akimkagua kwamacho kijana huyu, " yahaa! ndiyo mimi, .... ndiyo.. nilipanga kesho juma mosi nije nimwone mama, maana toka nimefika sijamwona ata wewe sikujuwa kama hupo maana sija wai.... sija wai kukuona" aliongea kijana huyu akionyesha kubabaika, kama kunakitu kina mtatiza au kumshangaza, kitendo kil…