MAMA MWENYE NYUMBA (3)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... “Mh! Kesho nilitaka nipige simu, kuwa naumwa, vipi kuna mchongo?” aliuliza Suzana uku akijigeuza na kulalia tumbo, akiachia msambwana ukiwa juu ukionekana vyema SASA ENDELEA... “Tena mchongo wa maana, kuna jamaa wa tawi la kinondoni wanataka tuwa fanyie mishemishe ya feck account, wana kopeshwa million 80, yakwetu 20” poa nitakwenda mala moja kasha nita ondoka, ila inabidi saa mbili nanusu wapo pale mpaka saa nne tuwe tume funga hiyo account” aliongea Suzana kwashauku, maana ako kalikuwa ni kamchezo kao, yani, pale mashilika ya kiserikari yanapo towa mikopo kwa wafanyakazi wao, kupitia benk ya wananchi , wao uingia mkataba na wale wanaokopeshwa, kasha wana tengeneza account feck, itakayo pitia fedha hiyo, na baada ya kuchukua fedha, ile account ufutwa mala moja, nakupoteza kumbukumbu za mkopo huo, hivyo deni kuwa hasala “Usijari wangu, yani kesho mapema sana, wewe ukufika anza kuifungua account, sisi tukifika tuna m…