MAMA MWENYE NYUMBA (10)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (10)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... Hapo wakina Nancy wakiendelea kushangaa tukio lile, wakashuhudia yulele mdada mrembo, akiingiza mkono kwenye mfuko wa kaptula ya Edgar anakusaidia kuitoa simuile, kisha akaitazama akijaribu kuiwasha, kweli ilikuwa ime zimwalakini ilipo washwa, tu ika zima tena SASA ENDELEA... “Kumbe haina chaji” aliongea yule mdada kisha akachukuwa ndizi moja na kumega kidogo, na kishushia na soda iliyo kuwa mezani, kisha wakina Nancy wakashuhudia wakiongea mawili matatu, alafu wakaona Edgar akiinuka na kunawa kisha huyooo akaongozana na yule dada nakuingia kwenye gari nakuondoka, akiwa amehacha nyama na ndizi nyingi mezani huku soda atanusu haija fika, kiukweli Nancy alijiona hakuwa na bahati kabisa, asa alipo yakumbuka maneno aliyo yaongea jana usiku, pale pale bar, akakodoa macho akiliangalia gari likigeuka na kuikamata barabara kuu nakuelekea mbezi Mzee Mashaka alitoka mapema kidogo akimwacha mkewake anajiandaa kwamtoko, mzee Ma…