MAMA MWENYE NYUMBA (11)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (11)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Alipofika pale alikuta Elisha anamalizia kumnyoa mteja mmoja na mwingine anasubiri, akaingia na kukaa kwe benchi la wateja wanao subiri kunyoa, huku akilahumu kimoyo moyo “haaa! yani mpaka ammalize na huyu” SASA ENDELEA... Lakini haikuchukuwa muda mrefu sana nikama nususaa hivi Elisha alikuwa amesha malizana na wateja wake na ndicho kipindi alicho tokea kinyozi mwenzie nakumsalimia shemeji yake kisha wakaondoka wakimwacha yule alieingia, wao wakaelekea kwenye hile bar ya jana huku njiani wakiongea ili nalile liusulo penzi lao jipya, huku ahadi nyingi zikitolewa, lakini muda wote bado Nancy alijiwa na tukio la mchana pale bar aliomwona Edgar akiondoka na yule mdada huku akihacha vyakula mezani, kiukweli kitu kama wivu kilimjai na kum keleketa moyoni Saa mbili usiku mzee Mashaka akiwa na yule bint alie mkuta pale bar kule ubungo maziwa alikuwa kimara stop over kwenye bar moja kubwa pia, wakiendelea kunywa pomb…