MAMA MWENYE NYUMBA (12)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (12)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Kisha ghafla akaanza kupiga atua akielekea kwenye ile bar, pale alipo kaa Edgar ambae alikuwa ameinamia bakuli la supu ilililo jaa paja kubwa la kuku, na mchuzi, chapati tatu zikiwa kwenye sahani, na yanne ikiwa kipande, huku soda ikiwa pembeni ikivuja maji kama umande, kuonyesha kuwa niya baridi sana SASA ENDELEA... Nancy alifika pale na kusimama mbele ya meza ya Edgar, “Eddy mambo” ilikuwa sauti nyembamba yautulivu uliochanganyika na wasi wasi, iliyo mstua Edgar ambae hakujuwa kama kuna uwepo wa mtu mwingine mbele yake, akainua usowake na kumtazama alie salimia, “poa” aliitikia kisha akaendelea kuifakamia supu yakuku, “samahani Eddy naomba tuongee kidogo” Nancy alionea akiwa bado amesimama, kwasauti ile ile yamwanzo, hapo Edgar akainua tena uso wake, nakumtazama Nancy, kwasekunde kadhaa, kisha kwasauti tulivu akasema “samahani dada yangu, kwani tuna fahamiana? Hapo kilimshika kitu kama haibu ata miguu yak…