MAMA MWENYE NYUMBA (14)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (14)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Kuna kitu nilisahau kuwaambia , siku yaleo ndiyo siku ambayo Edgar, ame kamata fedha nyingi, ambayo niyakwake pasipo kupangiwa matumizi, kwanza ile yakuwatumia wazazi SASA ENDELEA... “Kumpa nani ten a mpenzi, hinamaana unataka kwenda kumpa Suzan , tuta gombana”alisema yule mama Sophy huku bado Edgar akiwa haelewi maana ya tukio lile, “sasa hizi ele nipeleka wapi?” maana Edgar hakutaka kutumwa mbali, sababu alikuwa anataka amwai mpezi wake, mama mwenye nyumba, “zipeleke unapo taka, sababu nizakwako, lakini hasizione Suzan” Edgar alijihisi kama yupo ndotoni, aliganda kama sanamu huku kengere ya hatar ikigonga kichwani kwake, kuwa huyu mama hakuwa na utani juu ya kupewa utamu, alistushwa na mkono wa mama Suzan ambao uli mshika shingini nakumvuta kwake kisha akamlamba midomo, kitendo ambacho akukitalajia, baada ya sekende kadhaa akamwachia, “wai baba husimchukize mwenye mali, lakini nakutafutia nyumba uame kwa Su…