MAMA MWENYE NYUMBA (15)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (15)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... Edgar hakuwa na wasi wasi, maana alikuwa anahisi yule mzee, nibosi wa mama mwenye nyumba, kitu cha hajabu kwaupande wa Suzan hakuwa amejisikia wivu, wowote juu ya mzee Mashaka, zaidi alibadilisha maongezi. SASA ENDELEA... “Hivi ule usiku, hukunifanya wewe?, maana nililala fofofo” angalau kidogo, sasa Edgar alianza kumzowea mpenzi wake, “kukufanya nini?” japo alikuwa ameelewa alicho maanisha Suzan lakini yeye akajitoa ufahamu kidogo, hapo Suzan alicheka sana, kiasi cha watu kugeuka na kumtazama, alipo maliza kicheko, akili zika rudi kwa mzee Mashaka, akimwonea huruma mke wake maanayeye alihapa kuto mpatia kitumbua chake tena, “hivi mama Sohy alikuacha wapi?” swali hilo lili mstua sana, Edgar lakini akatumia ujanja wa hali ya juu na umakini mkubwa, akaficha hali yake, akakumbuka alicho ambiwa na mama Sophy, “panaitwaaaaa, haaa sipale kwenye mabasi mengi” aliongea na kumfanya Suzan acheketena, “kwahi muda wote…