MAMA MWENYE NYUMBA (16)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (16)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... Kumbe basi Suzan baada ya kushuhudia Edgar akipotelea barabarani, alikaapale akiwaza jambo flani, baada ya dakika kama tano, kisha akainuka na kuelekea ofisini kwao, aliingia moja kwamoja kwa muhasibu mkuu, na kumwomba luksa, ya kuwa anaenda nyumbani maana kichwa kina muuma sana SASA ENDELEA... Muhasibu mkuu hakuwa na hiyana, akamluhusu awahi kupumzika, huku akimsisitiza kwenda hospital endapo kichwa kitazidi, pia asikose kupiga simu kuwajulisha maendeleo yake, nusu saa baadae Suzan alikuwa kwenye folen, yakuingia mahabara, yahospital, ya Doctor Stellah , bingwa wamagonjwa ya kina mama, aka shangazi, (soma mkasa wa shangazi atanataka) folen iliendelea mpaka zamu yake ikafika akaingia na kuacha damu yake, ikiwa pamoja na kupatiwa namba, akaenda kukaa kwenye bechi, akisubiri majibu ya vipimo maana alipewa dakika kumi natano, majibu yatakuwa tayari, hapo Suzan alikaa huku mawazo yakivuruga kichwa chake maana ji…