MAMA MWENYE NYUMBA (17)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (17)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... Kumbe basi mzee Mshaka alisubiri sana, ule binti wajana aliamshe dude, lakini hakashangaa ndokwanza anahacha kabisa ata kuchezea “mbona unahacha, mimi mzuka umepanda bwana,” aliongea mzee Mashaka akikaa vizuri zaidi ili binti wajana aweze kuliamsha dudu SASA ENDELEA... Lakini chakushangaza wala hakuangaika nayo, “sikia baby, naogopa kukuchokoza alafu nika shindwa kukutuliza” aliongea binti wajana huku akiegemea kwenye mapaja ya mzee Mashaka, “kwanini hunasema hivyo, inamaana leo sipati kitu” aliuliza mzee Mashaka huku akichezea nywele za wajana, “ndiyo hatuwezi leo kampe mkeo”alisema binti wajana kwasauti ya utani akijidekeza, pale mapajani kwa mzee Mashaka, “huyo zilipendwa bwana, kwanini tushindwe” hapo mzee Mashaka akaona kuwa kuna dalili yakuto pata kitumbua siku hiyo, “leo naumwa, nipokwenye siku, kwani umebanwa sana?” aliuliza yule binti akicheka cheka, “sana yani nikichelewa naweza kujikojolea, umese…